Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1000064795.jpg

Wembley here we come 😄 😄

YNWA
 
View attachment 3378500
Vijana wapya ndio Hawa kwa sasa. Mpaka dirisha linafungwa nategemea kuona wakiongezeka.
Angalau hapo tuongeze CB mmoja, DM mmoja na Strika mmoja.

YNWA
FSG nahisi wanatutega, tutegemee kutokuona big sign yeyote misimu hii ya karibuni mpk 2027 refer ule usaili wa VVD, FAB na KEITA na AB
 
FSG nahisi wanatutega, tutegemee kutokuona big sign yeyote misimu hii ya karibuni mpk 2027 refer ule usaili wa VVD, FAB na KEITA na AB
😂😂😂😂😂😂With FSG enjoy while you can brother.
Hawa hua akili zao wanazijua wenyewe wapo tena bizy kusaka timu sasa wametua kwa Getafe Kule Uhispania.

YNWA
 
Miaka 8 iliyopita leo, Liverpool walimsajili Mohamed Salah kutoka Roma kwa ada ya awali ya pauni milioni £36.5.

Na tangu siku hiyo, kilichofuata ni historia safi ya mafanikio:

🔴 Mechi 401
⚽ Mabao 245
🅰️ Asisti 113

BIASHARA BORA ZAIDI YA KARNE!

Mchezaji aliyebadilisha mchezo, mfungaji hatari, kiongozi wa kimya kimya — Mohamed Salah ni zaidi ya mchezaji; ni taasisi ndani ya Liverpool. Anapoingia uwanjani, unajua kuna jambo litatokea.
 
Kwa DM unadhani nani sasa hiv atatufaa aliepo sokoni?
Hapa ndipo unawaza umuhimu wa mchezaji aina ya GINI
Ederson wa Atlanta anatufaa. Tetesi pia wamo Juventus na timu za warabuni zinamnyemelea hivyo tuwe chap kama kweli tunamtaka

Yupo old target pale Wolves kijana Andre Trindade ambae tulimfuatilia enzi zile yupo Fluminense.
Tukimpata mmoja ya hao mbona timu imekamilika.

Huyu Ande liva walimkataa msimu wa jana sijui sababu ilikua ni nini
 
🚨💣 BREAKING: Milos Kerkez to Liverpool, here we go! Plan from May confirmed as it’s all agreed between clubs.

£40m transfer fee, long term deal and Kerkez set for medical in the upcoming days.

Kerkez to Liverpool, never in doubt. 🔐
#Romano Fabrizio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom