Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Building the Future

FB_IMG_1750881865132.jpg
 
Jana kwenye zunguka zunguka yangu online nikakutana na video ya Richard Hughes akitufunga goli kwenye kombe la f.a 2004 akiwa anaichezea Pompey😂😂

Miaka 21 baadae yupo kwetu si kama mchezaji bali kama moyo wa timu💜💜

Natumai mambo makubwa na mazuri yanakuja kwa sababu tuna mtu sahihi wa kuyaleta, dirisha lililopita la usajili nililaumu sana utendaji wake wa kazi kumbe sikujua

Kwa usajili ambao ushafanyika na tetesi zinazoendelea kuwepo za usajili unaofuata CB na ST ni huyu mwamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom