Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
My babe
My Gakpo😍
Katamu sana haka
My babe
View attachment 3347185
Parade ya nguvu sana...
Jiji la Liverpool Jana lilikua ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️
Big up kwa mashabiki wote wa Liverpool humu JF baada ya mateso mengi sana ya Kipara hatimae msimu huu tumeupata ubingwa wa 20
Siku hizi unajikaza mwanzo mwisho unaandika kiswahiliView attachment 3347185
Parade ya nguvu sana...
Jiji la Liverpool Jana lilikua ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️
Big up kwa mashabiki wote wa Liverpool humu JF baada ya mateso mengi sana ya Kipara hatimae msimu huu tumeupata ubingwa wa 20 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾😂😂💪🏾💪🏾
YNWA
Trent anachafua Kombe letu😔😌
Kawe na utulivu tetesi kanatakiwa na Bayern Munich....My babe
My Gakpo😍
Katamu sana haka
🔥🔥🔥🔥🔥🔥It's the one and only one 20th....Ours again
View attachment 3347187
Champions again 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
OllaChuga Oc Uingereza yote ni Red mwamba karejea kileleni.
YNWA
Yule Mjeruman nahisi hata ganja anapiga hahahaAngekuwa Klopp bado ni Kocha lazima ungemuona hapo Mbele kashikilia chupa za bia huku akiwa amelewa hawezi hata kusimama
Ujeruman vitu vyao hvyo hata kule Qatar walipata tab sana🤣🤣🤣Yule Mjeruman nahisi hata ganja anapiga hahaha
Klopp hua hajifungi yeye anajiachia anajua maisha ndio haya haya na anajua ubingwa hauji kirahisi 😂😂😂😂😂😂hivyo anagonga cheers kazi nzuriAngekuwa Klopp bado ni Kocha lazima ungemuona hapo Mbele kashikilia chupa za bia huku akiwa amelewa hawezi hata kusimama
Tunategemea apate presha Sasa🔥🔥🔥🔥🔥🔥It's the one and only one 20th....
Sijui Fergie alipo ana Hali Gani alishasema akiwa hai hategemei kuona hii ikitokea...alidhani ametuzika ramsi kumbe sio rahisi ki hivyo ..tupo imara tupo ngangari tunalitaka la 21🔥🔥🔥🔥
YNWA
Niache😃😃😃😃😃Huhami nae.
YNWA
HaondokiKawe na utulivu tetesi kanatakiwa na Bayern Munich....
YNWA
🤣🤣🤣🤣🤣Utabaki na Nunez shauri yako...... Nunez 💕 💕 💕 wa Malkia Anne.Haondoki
😂😂😂😂Utahama nishaona dalili kabisa ,umepoa sana unasubiri utambulisho Kule Madrid uanze safari 😆Niache
Sishabikii timu za kishamba😆
Hatujahama na Mane,kaka yangu Mane mpole sana nije kuhama na Trent?
Kwa mpira Gani hasa alionao?