Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,863
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni coincidence Mkuu haikupangwa.Mkuu naona kale ka crown kwenye trophy kalidondoka na Trent akakaokota na kumfuata Salah kumvalisha kichwani, ile ni coincidence au ilipangwa kimkakati?
Salah anastahili.
YNWA