huyu dogo amefanyiwa figisu kwenye tuzo YOUNG PLAYER OF THE YEAR nominees. uzuri yeye mwenyewe kasema "don't worry someone else saw it" guess who kama sio our own bald head Arne Slot
huyu dogo amefanyiwa figisu kwenye tuzo YOUNG PLAYER OF THE YEAR nominees. uzuri yeye mwenyewe kasema "don't worry someone else saw it" guess who kama sio our own bald head Arne Slot
Pole ya nini sasa inatakiwa utupe hongera kwa kumpa upendo brightonMabingwa poleni
Robba mkataba wake unaisha msimu ujao hivyo labda wapate ofa dirisha hili vinginevyo tunae huyu dogo na pia umri wake nao amesogea. Ngoja tuone ndugu dirisha bado halipo wazi.siyo Robertson ndo anapewa mkono wa kwa her??
mm tsimikas naona ni backup nzuri tu akikaa bench hakuna shida
Best owners 🤣🤣🤣😃😃😃labda huko play station.....
Kabisa Mkuu nakumbaliana na wewe.Robertson ni club legend huwezi kumtoa kirahisi kama hivyo, alafu Tsimikas anauzika kirahisi compared to Robo so kwenye aspects hizo Tsimikas anafaa kuuzwa. Tsimikas ni wale wachezaji ambao wameshindwa kufikia expectation zao kiwango chake hakijakuwa tangia amechukulia hadi leo yupo vile vile
Asavali umesemaWewe uliyekuwa unaona Hendo ni bonge la player hunishangazi kuwaona hao jamaa ni quality ya Liverpool
Unaweza kupiga hata danadana 5 au unaropoka tuSalah Mechi 8 za mwisho ameflop yaani utadhani alikuwa na performance ya kuombea Mkataba tu
Mwalimu wako bado kidogo tumpe tuzo ya Mwalimu Bora wa kiswahili kwa BobbyKabisa Mkuu nakumbaliana na wewe.
Tuwe na subira dirisha liwe wazi tuone namna gani mambo yanakwenda sokoni.. biashara mapema maana Manchester City, Arsenal, Manchester United nk nk wote wapo bizy kusaka vipaji.
Tunahutaji RB, LB, CBR, DM na CS. Tayari RB kashatua na LB mazungumzo yashaanza. Muda utatupa majibu.
YNWA
Yeye ni kocha tuuHivi huyu Arne Slot yeye ni Head Coach tu sio Manager kama alivyokuwa Klopp?
Bobby mother tongue bado inamsumbua ila kwa uswahili wa humu atakaa sawa tu.Mwalimu wako bado kidogo tumpe tuzo ya Mwalimu Bora wa kiswahili kwa Bobby
Akimanage hizo "nga" ,"ga", "mba" ,"ba" basi huyu tayari ni mswahili pure.Bobby mother tongue bado inamsumbua ila kwa uswahili wa humu atakaa sawa tu.
Hasa kwenye ga na nga.
jirani yetu huyo hana baya.
Kwahiyo maoni yanatolewa na wapiga danadana tu?Unaweza kupiga hata danadana 5 au unaropoka tu
Hayo ni maoni au kukosa akiliKwahiyo maoni yanatolewa na wapiga danadana tu?