Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Hakuna kukapaWampe tu hiyo release wala sio ishu.Kumnyima release ili asishiriki sijui hiyo Club World Cup ni kuendelea kumpa umuhimu.
Na benchi tunakaweka
Na tunakaingiza dakika za nyongeza
Na mechi zikiisha vichambo vinaendelea kabla hakajatoka uwanjani.
Viva LFC 🔥🔥🔥