Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,680
Wamesha mchukua, sisi dili zetu niku bargain kwa mda mrefu wakati Madrid wao ni here we go 🤣🤣Hawa Madrid wanataka nini tena kwa huyu Dean Huijsen? Yaani hawa Kenge mpaka huyu wanataka tusimpate.
Wamesha mchukua, sisi dili zetu niku bargain kwa mda mrefu wakati Madrid wao ni here we go 🤣🤣Hawa Madrid wanataka nini tena kwa huyu Dean Huijsen? Yaani hawa Kenge mpaka huyu wanataka tusimpate.
Kelele za chura ndugu Wala usihangaike nao.Haters wa Liverpool
Tulipochukua CL 2019 ikasemwa ni worst final ever
Tulipochukua ligi 2020 tukaambiwa sababu ya COVID
Tumechukua ligi mwaka huu, tunaambiwa sababu ni wengine kuwa wabovu.
Kufikisha point 82 na kuwa mabingwa ni heri kuliko kufikisha points 97 na kukosa ubingwa
Dogo moyo wake upo Madrid hilo kambi yake ilishasema mapema kabisa kwamba endapo Madrid wataonyesha nia basi wapewe kipaumbele kumchukua...Wamesha mchukua, sisi dili zetu niku bargain kwa mda mrefu wakati Madrid wao ni here we go 🤣🤣
🤓🤓🤓🤓Unanikataa hivi hivi miss Liverpool kweli ....sio fea ujue.Ana mwalimu wake huyo , siyo Mimi 🤣😂
Mimi mwalimu wangu Mona, nimemshikilia anifundishe uchambuzi.. mambo ya pressing sijui double pivot mara sijui gengeni.
We ushindwee😆
Tukikubana vizuri utamtaja tu Mwalimu wako.🤓🤓🤓🤓Unanikataa hivi hivi miss Liverpool kweli ....sio fea ujue.
YNWA
Huu usajili upoje?View attachment 3337313
🚨 BREAKING: Jeremie Frimpong set to join Liverpool, here we go! 🔴💣
Agreement done for Dutch right back as Bayer Leverkusen are informed on €35m release clause being triggered.
Understand Frimpong will sign a five year deal with medical now being scheduled.
New RB for #LFC.
Pale mchezaji anaichagua Liverpool mwenyewe hua ni usajili Bora kabisa...View attachment 3337313
🚨 BREAKING: Jeremie Frimpong set to join Liverpool, here we go! 🔴💣
Agreement done for Dutch right back as Bayer Leverkusen are informed on €35m release clause being triggered.
Understand Frimpong will sign a five year deal with medical now being scheduled.
New RB for #LFC.
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Konate mbona hamuedani Bora hata sura ya kazi Nunez 🫣🫣🫣🫣🫣We ushindwee😆
Ushawahi ona hata siku moja nachagua mweusi?
Au unadhani kina Ibrahima siwaoni!?😆😅😅
Nachagua mweupe angalau tu balance rangi ya mtoto maana mimi mweusi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni nini Miss Liverpool ticha wangu mie ojiiiiiTukikubana vizuri utamtaja tu Mwalimu wako.
Ndio Legend waodoke tu wakiwa katika umri huu wa kuuzika angalau kwa faida ili hio pesa inunue wachezaji angalau watatu ....Diaz na Jones waondoke?
😂
View attachment 3337313
🚨 BREAKING: Jeremie Frimpong set to join Liverpool, here we go! 🔴💣
Agreement done for Dutch right back as Bayer Leverkusen are informed on €35m release clause being triggered.
Understand Frimpong will sign a five year deal with medical now being scheduled.
New RB for #LFC.
Hebu nitajie mwalimu wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni nini Miss Liverpool ticha wangu mie ojiiiii
YNWA
We ushindwee🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Konate mbona hamuedani Bora hata sura ya kazi Nunez 🫣🫣🫣🫣🫣
YNWA