Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We ushindwee😆
Ushawahi ona hata siku moja nachagua mweusi?
Au unadhani kina Ibrahima siwaoni!?😆😅😅
Nachagua mweupe angalau tu balance rangi ya mtoto maana mimi mweusi.

Muangalie huyu dogo kama Sadio Mane ingawa yeye ni back right
Saint Anne Captain Marvelous

The MoNA unamuelezea huyu dogo
 
Ndio Legend waodoke tu wakiwa katika umri huu wa kuuzika angalau kwa faida ili hio pesa inunue wachezaji angalau watatu ....

YNWA
Sio suala la umri mkuu.Hao wachezaji kwa kipindi walichokaa hawajaweza kufikia ule ubora ambao pengine tulitegemea

Jones ana misimu sita na Liverpool as an attacking midfielder.Ana goli 10 tu za premier league na assist 8!Misimu 6!!Huyu mchezaji ana mchango gani sasa hata angekuwa na umri wa miaka 20?

Diaz anacheza role ya Mane.Ana misimu minne na Liverpool.Amefunga goli 29 za ligi kwenye misimu yake minne.Misimu minne ya Mane alifunga goli 63 za ligi.Sasa unaweza kuona kuwa na mtu kama huyu tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele.....

Hao wachezaji ni wa kawaida sana mkuu,achana na umri walio nao
 
🚨 Jeremie Frimpong has completed first part of his medical as new Liverpool player, plan confirmed.

Contract until June 2030 set to be signed as next step then deal official.

Here we go, confirmed… and #LFC still want to add a left back this summer. 👀
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool approach Bournemouth to sign Milos Kerkez, talks underway 🇭🇺

Liverpool are now also completing the agreement on personal terms with Kerkez who’s keen on the move.

Negotiations underway between clubs on transfer fee as Liverpool want a left back after signing Frimpong.
 
IMG-20250519-WA0004.jpg
 
Hii nimeipenda kwa kweli.....
Tsimikas aanze kusaka timu.

YNWA
 
Sio suala la umri mkuu.Hao wachezaji kwa kipindi walichokaa hawajaweza kufikia ule ubora ambao pengine tulitegemea

Jones ana misimu sita na Liverpool as an attacking midfielder.Ana goli 10 tu za premier league na assist 8!Misimu 6!!Huyu mchezaji ana mchango gani sasa hata angekuwa na umri wa miaka 20?

Diaz anacheza role ya Mane.Ana misimu minne na Liverpool.Amefunga goli 29 za ligi kwenye misimu yake minne.Misimu minne ya Mane alifunga goli 63 za ligi.Sasa unaweza kuona kuwa na mtu kama huyu tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele.....

Hao wachezaji ni wa kawaida sana mkuu,achana na umri walio nao
Well said mate....numbers don't lie.....

Naona ma scout na idara ya usajili wapo bizy sana kukamilisha kazi mapema kusudi mwalimu awe na wachezaji wake preseason ya kutosha

YNWA
 
Hii nimeipenda kwa kweli.....
Tsimikas aanze kusaka timu.

YNWA
Robertson ni club legend huwezi kumtoa kirahisi kama hivyo, alafu Tsimikas anauzika kirahisi compared to Robo so kwenye aspects hizo Tsimikas anafaa kuuzwa. Tsimikas ni wale wachezaji ambao wameshindwa kufikia expectation zao kiwango chake hakijakuwa tangia amechukulia hadi leo yupo vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom