Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huko ni kukosa akili sio kutoa maoni jitu linataka Salah acheze msimu mzima Kwa uwezo huo huo yaani utafikri Salah ni roboti jitu kama hilo linaakili timamu
Una Id nyingi ila muandiko wako haubadiliki ile id ya yako ya Willy paul uliiunguza.
JIfunze kuwa unakosoa kwa staha pia, hili jukwaa huru mitazama lazima iwe mingi
 
ata vichaa wanawaona wenye akili ndo vichaa...unaweza tofautiana na mtu kwa lugha ya staa.
 
Ndio kusema sisi price tag ya wachezaji wetu ni 35€ tu? 🤣🤣🤣
MosDef
The MoNA
Captain Marvelous
IMG-20250520-WA0001.jpg
 
ata vichaa wanawaona wenye akili ndo vichaa...unaweza tofautiana na mtu kwa lugha ya staa.
Una Id nyingi ila muandiko wako haubadiliki ile id ya yako ya Willy paul uliiunguza.
JIfunze kuwa unakosoa kwa staha pia, hili jukwaa huru mitazama lazima iwe mingi
Hujakatazwa kutoa ya kwako bila kubughudhi ya wengine

Huwa inashangaza sana hata jukwaa la michezo tena jukwaa lenyewe sio la Simba na Yanga bado mtu anakuwa na maneno ya siyo kuwa na staha. Huyo mimi nilisha ignore tayari.
 
Mkuu hizi lugha siyo utamaduni wetu hapa
Wewe kama unatofautiana mtazamo na wengine basi toa maoni yako bila kutukana wengine.
Huko ni kukosa akili sio kutoa maoni jitu linataka Salah acheze msimu mzima Kwa uwezo huo huo yaani utafikri Salah ni roboti jitu kama hilo linaakili timamu
 
Huwa inashangaza sana hata jukwaa la michezo tena jukwaa lenyewe sio la Simba na Yanga bado mtu anakuwa na maneno ya siyo kuwa na staha. Huyo mimi nilisha ignore tayari.
Inasikitisha sana
Mtu anaanza tu kutukana mwenzie kisa hakubaliani na maoni yake.
Kutokukubaliana kupo ila hatutukanani humu.
 
Yeye ni kocha tuu

Dah! Sasa kama Klopp ambaye alikuwa ni Manager wa Liverpool cheo kinachompa mamlaka ya kuingia kwenye kufanya maamuzi ya Timu alikuwa anakabiwa juu kwenye usajili, Je huyu Slot ambaye hakupewa umeneja bali kaachiwa ukocha pekee si atashindwa kabisa hata kuongea chochote kwenye usajili?

Lakini najua hajapewa umeneja kwasababu alikuwa hana jina.
Atengenze jina zaidi msimu ujao nasi ataongezewa Mkataba ambao atalazimisha apewe umeneja wa Timu.
 
Kuna vitu havikuu kaa sawa kati ya klopp na ma boss wake

Ishu ya usajili wa Darwin

Kuongezewa mkataba Henderson

Kuongezewa mkataba Keita

Hao watu klopp aling'ang'ania waendelee kuwepo.
 
Liverpool had some contacts to understand the situation of Alexander Isak but the message was very clear from Newcastle United — that they don’t want to sell the player. Not an easy deal at all, @FabrizioRomano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom