Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwani wapi nimesema liva kachukua sababu wengine wabovu?

Mimi nimekuja kukanusha mlipochomekea kuwa hata man city kachukua sababu wengine wabovu, wewe ndiye huelewi nilichoandika.

Nyie komaeni na ma HB sisi tunaleta vyuma vya kazi.
Nyuma kombe lipo wapi la maana?
MaHB na wameshatuletea kombe la maana

Wewe ndiye uliingiza man city sehemu ambayo si ya kuiingiza ili mradi uonekane tu umebishaa kwenye point ya Liverpool kuwa bora kwa sababu katangulia mbele kwa points nyingi sana mwaka huu.
Tofauti na Miaka ya nyuma ambapo mshindi wa kwanza na wa pili walipishana kwa points 2,1
All in all timu bora ni ile inayochukua ubingwa.
Hizo nyingine za ooh Mpira mzuri ni ni blah blah
 
Pamoja na Liverpool kuchukua ubingwa, kwangu timu bora ya msimu ni Man City kutokana na changamoto walizopitia na wameweza kubakia imara mwishoni mwa msimu.
chizi hili team bora ni ile iliyochukuwa ubingwa babuu. ukija na porojo kama hizo basi team bora ni Chelsea ambao wana new players kama wote na coach mpya nobody saw them wakiwa hata nafasi ya 8
 
Kwa maoni yangu naona tumechukua ubingwa msimu huu sio kwa ubora wetu bali kwa kuyumba kwa timu zingine hasa City.Points 90 tu zimetushinda kuzifikia!

Kuhusu Trent sisikitiki kwa kuwa anaondoka ila nasikitika namna anavyoondoka.Sikutarajia mtoto wetu wenyewe atusaliti over money.Though msimu huu game yake haikuwa on point nisingejali kuondoka kwake kama angeondoka huku akiiheshimu club.

Still tunahitaji sajili za maana kwenye beki wa kati,kulia na kushoto.Tunahitaji namba 6.Tunahitaji LW na striker namba 9...

Nunez
Jones
Diaz
Robertson
Gomes
Chiesa nk
Wanaweza tu kuondoka

Ukisema tumechukua ubingwa kwasababu Timu zengine zimeyumba utakuwa hupo sahihi.

Hata huyo Man City akibeba ubingwa kwasababu Timu zengine ziliyumba.
Hata Man United alipokuwa anabeba Ubingwa ni kwamba Timu nyengine ziliyumba.

Tukitumia kigezo cha kuyumba basi jakuna anayebeba ubingwa bila ya wenzake kuyumba ndiyomana hata Barcelona anabeba Ubingwa kwasababu Real Madrid ameyumba.
Hiyo ni hoja dhaifu Gerrard asingeyumba kwa kuteleza tungebebwa Ubingwa mwaka 2009.
Tusingeyumba 2014 tungebeba Ubingwa. N.k.


Hivyo tukubali tu tumebeba Ubingwa kwasababu tulikuwa bora
 
😂😂😂😂Wewe hapo nakushikilia Wala siachiiiii ng'o😂😂😂😂

YNWA
Wewe ni wa kuja na misemo ya ndanindani uswahilini kweli!? sasa hivi unaandika kiswahili full bila kuchanganya maneno 😂😂😂
Nipo njiani namletea Mwalimu wako zawadi ya maparachichi toka Tukuyu maana Bobby umekuwa mswahili pure🤣🤣🤣🤣
 
Wale ndugu zetu man city tim pendwa ya dada yangu na mdogo wangu naona msimu ujao watakuwa na hali mbaya kama msimu huu
 
Naomba niwe mwalimu wako Unataka kufahamu kuhusu nini?

1. Pressing
2. Double pivot
3. High line pressing???
Mona kazi imekushinda, ona nishapata Mwalimu 😂😂😂

Mimi zaidi ya kelele na kushangilia, sijui chochote kuhusu mpira.
Yaani mifumo, Sheria.
Kama vile Mona anavyosemaga sijui tulianza 4,3 ngapi sijui
Tukaswitch kwenda sijui ngapi.
Mhona mm huwa sioni😂💔naona tu watu wanakimbia mpira unarudi unaenda muda mwingine unapotea, basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom