Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😂😂

Captain Marvelous ananiambia Van Dijk kawa Captain wa kwanza asiye mwingereza kuchukua taji la EPL wakati A Belgian defender, Vincent kompany alifanya hivyo way back in 2012.

Wewe Cap, kwanini unatulisha matangopori 😂😂
😂😂😂😂😂😂 Ndio Mkuu ni Captain wa kwanza asiye kua Muingereza kuongoza Liverpool kuchukua Ubingwa wa EPL.....sijasema ni Captain wa kwanza kuchukua EPL akiwa sio Muingereza kwa klabu zote ndugu...
Ma Captain wote wa Liverpool waliotangulia kituongoza kuchukua Ubingwa EPL walikua ni Wa UK wa mwisho akiwa Henderson....
VVD kaweka rekodi mpya.

YNWA
 
Historia inaonyesha makocha viherehere wanaoshinda ligi kwenye misimu yao ya kwanza hua hawana maisha marefu pale uingereza.

Mourinho
Ancelotti
Pellegrini
Conte

Greatest managers pale uingereza ni wazee wa slow but sure.

Ferggie
Pep
Wenger
Bill Shankly
Bob Paisley
George Ramsey
Kenny Daglish

Haya tukutane msimu ujao.

Wewe hizi data kakudanganya nani?

Hapo Slow but sure ni Makocha wawili tu Bill Shankly na Ferguson.

Hao wengine wote walizikuta Timu zao ni bora isipokuwa Pep naye alikaa msimu mmoja tu akabeba msimu wa pili yake.
 
Tafsiri isiyo rasmi


Akizungumza na OLBG (kupitia Daily Mail), msomaji wa midomo ya uchunguzi na uchunguzi wa kimahakama, Nicola Hickling ameweka wazi kile kilichosemwa kati ya mchezaji huyo na mmiliki huyo wa timu raia wa Marekani:

Henry: "Umekuwa kimya. Uliendeleaje?"

Trent: [akitikisa kichwa] "Kuwa na busara."

Henry: [anainua mkono kidogo] “Nataka ufanye jambo sahihi.”

Trent: "Ndio, ndio."

Henry: "Njia bora na usiogope."

Trent: "Je, niamue?"

Henry: [akitikisa kichwa polepole] “Hakika.” [anageukia mashabiki] "Wajulishe."

[Trent anakubali kwa kutikisa kichwa]

Uamuzi wowote wa kukataa Real Madrid bila shaka utafurahiwa na wachezaji wenzake
 
1000024230.jpg

Champions parade loading 🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Liverpool

YNWA
 
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Liverpool waliocheza mechi nyingi Premier League msimu huu na wale waliocheza mechi chache;

Mchezaji Idadi Ya Mechi
Mohamed Salah 34
Alisson Becker 24
Ryan Gravenberch 34
Diogo Jota 23
Virgil van Dijk 34
Wataru Endo 17
Alexis Mac Allister 33
Kostas Tsimikas 16
Luis Diaz 33
Conor Bradley 15
Dominik Szoboszlai 32
Harvey Elliott 14
Andy Robertson 31
Jarell Quansah 11
Cody Gakpo 31
Caoimhin Kelleher 10
Trent Alexander-Arnold 30
Joe Gomez 9
Curtis Jones 29
Federico Chiesa 4*
Ibrahima Konate 28
Vitezslav Jaros 1*
Darwin Nunez 26
Jayden Danns 1*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom