zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Msimu ujao nitajitahidi nihudhurie mechi moja pale Anfield.
Msimu ujao nitajitahidi nihudhurie mechi moja pale Anfield.
All the best zumbemkuuMsimu ujao nitajitahidi nihudhurie mechi moja pale Anfield.
Ila fsg watengeneze uwanja bhana umekaa kizamani sana
Wapo bizy kusaka klabu ya kununua sio kuwaza ishu ya uwanja.Ila fsg watengeneze uwanja bhana umekaa kizamani sana
duh!, yaani arsenyani mumebaki kuwa wapiga ramli tuHistoria inaonyesha makocha viherehere wanaoshinda ligi kwenye misimu yao ya kwanza hua hawana maisha marefu pale uingereza.
Mourinho
Ancelotti
Pellegrini
Conte
Greatest managers pale uingereza ni wazee wa slow but sure.
Ferggie
Pep
Wenger
Bill Shankly
Bob Paisley
George Ramsey
Kenny Daglish
Haya tukutane msimu ujao.
Sasa mimi na Arsenal wapi na wapi ndugu.duh!, yaani arsenyani mumebaki kuwa wapiga ramli tu
Kila la kheri ... utatuwakilisha vyema sanaMsimu ujao nitajitahidi nihudhurie mechi moja pale Anfield.
Msisahau ku type Liverpool kwenye Google 😃🙌Kwahiyo wakuu katika ushindani wenu na Manchester city, nyie mmechukua EPL mara 2 tu, wenzenu wamechukua kama X6 hivi??
Hebu fanya kuandika neno Liverpool pale google.🤭😎😎😎😎inaonekana admin wa google ni shabiki la livaa🤣🤣 just kidding
Ana sifa sana🤣🤣🤣
Challenge acceptedHebu fanya kuandika neno Liverpool pale google.🤭😎😎😎😎inaonekana admin wa google ni shabiki la livaa🤣🤣 just kidding
HAO NI WANA WIVU NA NONGWA😎Challenge accepted
Viva Google
YNWA 👌🏿
Hadi google inawatambua mabingwa wa dunia na kuwawekea heshima
Ila kuna mashabiki maandazi wa timu uchwara waliokosa kombe watakuja kusema tumebahatisha.
Nadhani anakukumbusha tu kuwa kwa kuwa wewe ulikuwa Arsenal kabla hujahamia City, anakurudisha tu kwenye timu yako halisi.Sasa mimi na Arsenal wapi na wapi ndugu.