Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,576
- 1,398
Loh! 😄😄😄Nadhani anakukumbusha tu kuwa kwa kuwa wewe ulikuwa Arsenal kabla hujahamia City, anakurudisha tu kwenye timu yako halisi.
Sasa mimi na u yanki huu ningeanzaje kushabikia arsenal kaka mkubwa?
Nmekuja duniani nakuta timu inaburuzwa ningeanzaje kushabikia timu nuksi kama hiyo?