mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,659
- 4,484
Shukran18:30hrs kwa East Africa Time.
Niliwahi kuangalia pale Kijijini kwetu poripoa
Shukran18:30hrs kwa East Africa Time.
In relation na popeWalikufa mamilion ya watu kwa covid
Jamai jamani
Kijana Golden Boot obviously ni yake. Hao kina Isak kawaacha mbali sana, ni ndoto kufikicha magoli 7 kwa muda uliobaki.Dogo anacheka kwa mengi ujue kwa sasa anaemzidi mshahara ni Halland pale Uingereza sasa ndugu weka na ubingwa akiwa mfungaji Bora aaa lazima kicheko kama chote.
😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
Daah. Nyie si mtakutana na crystal palace?Unasikia wewe Saint Anne msitutishe na hicho ki EPL tittle chenu cha pili nasisi tumetangaza ubingwa wetu kule dimba la taifa.
BabeYNWA ❤️
Love Liverpool with my life
🔥🔥🔥🔥Jamani mwenye ofa kwa Miss Liverpool wetu dirisha lipo wazii🤓🤓🤓🤓Jamai jamani
Jogoo mzima na Logo🔥🔥🔥
Wa kuninunulia jezi hii jamani
Msimu ujao
Napokea kwa mikono miwili
Anastahili dogo yeye peke yake ana win percentage zaidi asilimia 45 peke yake kwa magoli na assist hakika ni wa kipekeee.Salah ana moyo wa pekeyake❤️
Kaenda kupiga selfie na mashabiki❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu amlinde Salah wetu❤️❤️
Yaani wewe bro ma actors na ma actresses hawakukwepi kabisa yaani 😀😀
😃😀😀😀 Exactly 💯 mkuuYaani wewe bro ma actors na ma actresses hawakukwepi kabisa yaani 😀😀
Final yetu sisi ilikua ni Nottingham, huyo palace tunaenda kukamilisha ratiba tu kama liverpool anavyoenda kukamilisha yake.Daah. Nyie si mtakutana na crystal palace?
Hivi huyo dogo si ndio yule wa kwenye adolescence?
Ni yeyeHivi huyo dogo si ndio yule wa kwenye adolescence?
You'll Never Walk AloneWe are Liverrpool
We are Reds
We are champion
Hongereni wana Liverpool wote