Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe huyu Trent anakitambi😁😁😁

Toto dogo kitambi bila shaka naye anakula mapupu na energy km watu wa mbagala 😁
 
😂😂😂😂😂Ukishalijua Hilo Wala hupati presha na dogo kuodoka .. ukweli kupata Salah na VVD mwingine ni ghali sana kuliko kumpata Trent mwingine....
Tazama win percentage na contribution ya hao mwamba wawili utaelewa kwa nini FSG ambao sio waumini wa kuwapa so called wazee mikataba tena yenye malipo makubwa lakini kwa hawa wawili imekua exception bila kujali wage structure nk nk

YNWA
Yah hao ndio walikuwa wanatupa headache kwa sasa
Wamebaki, tuna amani sana.

Trent aende tu.
 
Yah hao ndio walikuwa wanatupa headache kwa sasa
Wamebaki, tuna amani sana.

Trent aende tu.
Well said Miss Liverpool......
Trent is disposable any day of the week minus his right foot crosses that we will miss dearly...his numbers are crazy...
Now Bradley has chance japo ni serial absentee due to injuries.

Tunamshukuru kwa mchango wake ila mfumo wa timu pia ulikuwa unambeba na kumfanya ashine.
 
Check this coincidence 👇🏼

In 1981, Liverpool FC were European champions and the Pope died.

In 2005, Liverpool FC were European champions and the Pope died.

In 2025, Liverpool FC are Champions-elect of the English Premier league and the Pope is dead

If we kill Liverpool FC surely the Pope will live forever.
Hujambo mdogo wangu?
 
Allah yupo upande wetu kila waombapo dua zao mbaya huwarudia..tumebakisha point moja ikizidi ni mbili tutangazwe machampion wapya mara mbili ndani ya misimu mitano...inshaAllah panapo majaliwa jumapili tarehe 27 nakwenda kushuhudia tukiwa mabingwa tena...
................YWNA............
 
Nikiwa Tz hapa usingizi umekata usiku huu wa manane, nasubiri masaa tu nishuhudie ubingwa wa pili tangu nilivyoanza kushabikia hii team more than 20 years ago.

Leo tarehe 27, tupate point 1 tu iwe siku ya kihistoria, hahahhahaa.
Na pia tokea mwaka 1962 , Liverpool hajawahi maliza ligi nje ya top 8😎😎
 
Nikiwa Tz hapa usingizi umekata usiku huu wa manane, nasubiri masaa tu nishuhudie ubingwa wa pili tangu nilivyoanza kushabikia hii team more than 20 years ago.

Leo tarehe 27, tupate point 1 tu iwe siku ya kihistoria, hahahhahaa.
Siku ya kihistoria?! 😂😂😂😂

Au sababu tumechukua makombe 4 mfululizo ndio maana naona ni kitu cha kawaida.
 
Siku ya kihistoria?! 😂😂😂😂

Au sababu tumechukua makombe 4 mfululizo ndio maana naona ni kitu cha kawaida.
Mlisema na msimu huu bila Klopp mnaupiga mwingi na kuchukua tena...
Tulieni tulii ni wakati wetuuu Majogoo.
Ni kihistoria tuna levo makombe 20 sawa na majirani zako.
Tazama hata hio UCL unaisaka na tochi msimu ujao.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom