Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mara paaap liva anakandwa, mechi ijayo akutane na chelsea anasaka top 5 akandwe tena, akutane na arsenal akandwe 😂😂
Duh! Hapo shida anayemfukuzia ni Arsenal. Hata liver akifungwa zote, Arsenal atapata walau suluhu.
 
Mara paaap liva anakandwa, mechi ijayo akutane na chelsea anasaka top 5 akandwe tena, akutane na arsenal akandwe 😂😂
🤣🤣Mshindwe kutudaka mechi 30+ ndio mtudake sasa...dhubutu wewe edelea na ramli zako kombe lishachorwa Bingwa wa Uingereza msimu wa 2024 2025 ni Liverpool.

Weka kambi humu Mkuu ni furaha saanaaa....

YNWA
 
Sisi kuwadaka haiwezekani, naongelea scenario ubingwa ukaamuliwa siku ya mwisho kabisa.

By the way anayewakimbiza naye mchovu tu ndio tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom