BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Ahaha mkuu hamuwezi mzee.Habari zetu mmezipata?
Dua zenu wiki ijayo tafadhali, ili tuje kutamba na kutawala hili jukwaa kama letu vile.
Tutakuchakazeni sana.
Ahaha mkuu hamuwezi mzee.Habari zetu mmezipata?
Dua zenu wiki ijayo tafadhali, ili tuje kutamba na kutawala hili jukwaa kama letu vile.
Duh wazungu wameachia𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mo Salah, closing in on new contract at Liverpool with deal 𝐚𝐥𝐦𝐨𝐬𝐭 𝐝𝐨𝐧𝐞
Negotiations are at final stages with Salah expected to put pen to paper and sign new his contract very soon.
Liverpool are confident to keep both Mo and van Dijk, while Alexander-Arnold’s close to joining Real Madrid.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥At least imekaa sawa ili kuwe na smooth transition with new recruits kwenye nafasi zao...🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mo Salah, closing in on new contract at Liverpool with deal 𝐚𝐥𝐦𝐨𝐬𝐭 𝐝𝐨𝐧𝐞 ❤️🇪🇬
Negotiations are at final stages with Salah expected to put pen to paper and sign new his contract very soon.
Liverpool are confident to keep both Mo and van Dijk, while Alexander-Arnold’s close to joining Real Madrid.
Hao malegend ni lazima waondoke tukiwa na watu wa kuziba nafasi zao tayari, yasije kujirudia yale ya Torres na Andy Carrol😄Salah na VVD nadhani muda wao umepita,waondoke
TAA bado kijana sana,abaki
Haya ni mawazo yangu huru
Asepe tu kwani yeye nani pale Liverpool wamepita watu kibaoHao malegend ni lazima waondoke tukiwa na watu wa kuziba nafasi zao tayari, yasije kujirudia yale ya Torres na Andy Carrol😄
Kuhusu TAA hakuna namna dogo anatembea
Hii kauli itafaa kama tutapata mbadala wake sahihiAsepe tu kwani yeye nani pale Liverpool wamepita watu kibao
Bradley ni mbadala 100%Hii kauli itafaa kama tutapata mbadala wake sahihi
TAA huwa anamrahisishia kazi Salah sana
Bado hata asilimia 60 hamfikii TAA kwa anachotoaBradley ni mbadala 100%
Mpira sio chumbani kazi ya dogo inaonekanaBado hata asilimia 60 hamfikii TAA kwa anachotoa
Mambo haya yalitakiwa yafanyika kabla hata January mnasubir mmepoteza vikombe.?🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mo Salah, closing in on new contract at Liverpool with deal 𝐚𝐥𝐦𝐨𝐬𝐭 𝐝𝐨𝐧𝐞 ❤️🇪🇬
Negotiations are at final stages with Salah expected to put pen to paper and sign new his contract very soon.
Liverpool are confident to keep both Mo and van Dijk, while Alexander-Arnold’s close to joining Real Madrid.
Mambo haya yalitakiwa yafanyika kabla hata January mnasubir mmepoteza vikombe.? Na huyu Salah msimu huu kwake ndio mwisho baada ya hapo atakuwa hana tofauti na sterling🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mo Salah, closing in on new contract at Liverpool with deal 𝐚𝐥𝐦𝐨𝐬𝐭 𝐝𝐨𝐧𝐞 ❤️🇪🇬
Negotiations are at final stages with Salah expected to put pen to paper and sign new his contract very soon.
Liverpool are confident to keep both Mo and van Dijk, while Alexander-Arnold’s close to joining Real Madrid.
Umeanza utabiri?Mambo haya yalitakiwa yafanyika kabla hata January mnasubir mmepoteza vikombe.? Na huyu Salah msimu huu kwake ndio mwisho baada ya hapo atakuwa hana tofauti na sterling
Huyo Salah Naye kaongeza miaka mingapi aisee maana isijekua minne hukoSalah amefanya jambo jema baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa hatimae amejifunga..bado Captain wetu fantastic nae ajifunge tusikasirike liverpool fans hakuna safari isiyo na wazee hao wawili wanatosha Robertson atafutiwe pa kwenfa au awe mshauri wa slot...