Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  • Tumefungwa magoli 3 ndani ya dakika 15 tu.
  • Katika michezo miwili dhidi ya Fulham Home & Away tumepata point 1 tu.

Hata hivyo sisi ni mabingwa wa msimu huu
👍👍🏻 Champions elect tupo hapa....
It's has been coming hiki kipigo kutoka Fulham... Silva hakika anatupa wakati mgumu sana na Leo we collapsed at the back and gave away the game just like that....
FSG huu ujumbe wa hii performance waelewa namna gani kujenga upya kikosi kinahitaji umakini sana...

YNWA
 
Sisi Arsenal sijui tuna gundu gani asee, tukiwa kwenye ubora tunafukuzana na Man City, tukipoteana kidogo tunakutana na mchovu Liverpool.
Soon lile kombe la EPL linawekwa ribbons 🎀 nyekundu kuashiria bingwa msimu wa 2024 2025 ni the Red Army......
Wengine mkae tu kwa kusema ingekua vipi ingekua vipi...biashara tayari hapa...

It's coming home 20th ...it's sweet angalau this time mashabiki watakuwepo kwenye sherehe kama zote.

Msimu ujayo , najiona tutakuwa tunapambania top four, kama tutakosa DM, LB, CB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom