Hebu acheni hizo! Kwani wenyewe hawatasajili? Mbona tuna mawazo ya kimangungu hivyo?Msimu ujayo , najiona tutakuwa tunapambania top four, kama tutakosa DM, LB, CB
Kwani akiongoza ndo nn 😂Wachovu wanaongoza ligi? Maajabu haya
Mzee hili ni jukwaa huru, toa mawazo yako mzee usitake tuwe na mawazo sawa.Hebu acheni hizo! Kwani wenyewe hawatasajili? Mbona tuna mawazo ya kimangungu hivyo?
Kifupi tu wachezaji wamechoka. Na moral imeshuka haswa baada ya kuondolewa kule ulaya UCL na kukikosa kikombe la Carling cup.
Kama mdau alivyosema hapo huu, liverpool wamenufaika kwa kujiokotea points mapema.. lakini premier league mwaka huu tutabeba.
Ndio anapewa kombeKwani akiongoza ndo nn 😂
Ishu ni kwamba Leo kwa mara ya kwanza karibu miaka 5 hivi tumefungwo goli 3 kipindi Cha kwanza, mara ya mwisho Liverpool kufungwo EPL goli tatu kipindi Cha kwanza ilikua vs Aston Villa tukifungwo 7 kwa 2 hio gemu huku magoli manne walifunga kipindi Cha kwanza...hii sio powa maana kwanza magoli Yale yametokana na ukuta wetu kuyumba tazama Jones, Robertson na VVD Leo kwa nyakati tofauti wamesababisha sie kufungwo left n right na hii sasa.Msimu ujayo , najiona tutakuwa tunapambania top four, kama tutakosa DM, LB, CB
Sisi Arsenal sijui tuna gundu gani asee, tukiwa kwenye ubora tunafukuzana na Man City, tukipoteana kidogo tunakutana na mchovu Liverpool.


Ukifanya michezo michafu ndani ya nyumba yako unakua umewawekea ngome mapepo machafu kutawala kwenye makazi yako, hivyo sahau kabisa kuhusu mafanikio, tegemea kuandamwa na mikosi, gundu na laana.
Taji la 20 ni letu tu hakuna namnaKwakweli ligi iishe mapema tu
Naamini hivo, lakini naona kama wachezaji wamechoka sanaTaji la 20 ni letu tu hakuna namna
Zimebaki mechi 7 kumaliza ligi ambazo ni sawa na points 21.Taji la 20 ni letu tu hakuna namna
Mmh ndo alivyowaambia hivyo kuwa Bado kijana? Kumbe hata ulaya Kuna kina onyango na okwiWana Liverpool wenzangu EPL ni yetu
lkn sijafurahishwa kabisa kukosa CARABAO na kuwa overplayed na PSG
Lkn kocha bado kijana,anajifunza