Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,988
Tuko nusu fainali champions league tumebakiza mkia tuUnateseka ukiwa wapi kaka Arse8 makombeless FC 😂😂😂
Tuko nusu fainali champions league tumebakiza mkia tuUnateseka ukiwa wapi kaka Arse8 makombeless FC 😂😂😂
Talent+chaos+hard work+positive mentality-quality golini=Nunez.Kweli umemchoka mdogo wako
Yaani wewe ni WA kusema Nunez Auzwe?
Ugenini komaa kipindi Cha kwanza aidha ufunge ama utoke sare ili kipindi Cha pili wakifunguka itakua na nafasi zaidi kuwazima kwa kaunta.Tuko nusu fainali champions league tumebakiza mkia tu
Kwa FSG sahau watakomaa na Anfiled ndugu..Gunnes,Spurs,West ham Wana viwanja vya kisasa, na soon Manchester United, Newcastle Wanajenga viwanja vya kisasaBasi hapo safi halafu vipi uwanja hamna hata tetesi za kuuweka kisasa kama everton
Hivi ule uwanja wa West Ham walijenga wao ama ulijengwa na SerikaliKwa FSG sahau watakomaa na Anfiled ndugu..Gunnes,Spurs,West ham Wana viwanja vya kisasa, na soon Manchester United, Newcastle Wanajenga viwanja vya kisasa
YNWA
SawaTuko nusu fainali champions league tumebakiza mkia tu
Hao jamaa wanamatatizo aisee timu kubwa kama Liverpool inatumia uwanja wa kizamani Hadi aibuKwa FSG sahau watakomaa na Anfiled ndugu..Gunnes,Spurs,West ham Wana viwanja vya kisasa, na soon Manchester United, Newcastle Wanajenga viwanja vya kisasa
YNWA
Sema kabisa upigwe ban kama wenzako.Sawa
Mkishinda UEFA naacha kutumia jf
Hatuendi kucheza mpira Kule Bali ni kutanda golini mwanzo mwishoUgenini komaa kipindi Cha kwanza aidha ufunge ama utoke sare ili kipindi Cha pili wakifunguka itakua na nafasi zaidi kuwazima kwa kaunta.
All the best of luck.
YNWA
Madrid anakutoa kama uamini ngoja utaona na watu hawataaminiHatuendi kucheza mpira Kule Bali ni kutanda golini mwanzo mwisho
Nitaacha kutumia jfSema kabisa upigwe ban kama wenzako.
Tena?Talent+chaos+hard work+positive mentality-quality golini=Nunez.
Liverpool by design ain't suited kua na pure lone 9 kama Nunez hivyo let's the boy walk..he is full of talent but it's ain't cutting sio chini ya Klopp au Slot ...he blossoms when playing lone 9 jambo ambalo Liverpool sio mfumo wetu.
YNWA.
Kwa akili yako ya kawaidaHatuendi kucheza mpira Kule Bali ni kutanda golini mwanzo mwisho
Sio wa Westham japo Wana mkataba na wenyewe ni wawekezaji wanaomiliki... Westham wanalipa 3.6m kwa mwaka na Wana mkataba wa miaka 99.Hivi ule uwanja wa West Ham walijenga wao ama ulijengwa na Serikali
Ukae kwa kutulia Miss Liverpool.Tena?
All the best.Hatuendi kucheza mpira Kule Bali ni kutanda golini mwanzo mwisho
Hapo wakianza ishu za uwanja na kusajili ndio basi tenaaa. Watulie kwanza mpaka kikosi kiongezewe wachezaji.Hao jamaa wanamatatizo aisee timu kubwa kama Liverpool inatumia uwanja wa kizamani Hadi aibu
Si mlisema atatushangazaUkae kwa kutulia Miss Liverpool.
Salah ka Saini tena miaka miwili inakupa picha klabu inakwenda na mfumo mfumo huu huu wa sasa...
Nunez ana resale value nzuri ni wakati sahihi fanye maamuzi mapema.
YNWA
Tutafungwa ila sio zaid ya 3Kwa akili yako ya kawaida
Unadhani arse8 anashinda?