Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi wakuu uwanja hamna hata tetesi za kuuweka vizuri hata kama everton maana upo kizamani sana aisee mpaka manyumbu watatuzidi
 
Vipi kuhusu uwanja mkuu hamna hata tetesi za kuuweka kisasa maana upo kizamani sana wenzetu Everton wamejenga uwanja mkali sana
Uwanja wetu kama nyumba ya jongoo mkuu unaongezwa ndani kwa ndani baada ya anfield kuongezwa majukwaa hakuna hizo tetesi nafikiri hata plan waliua!
 
Daah nyumbu nao wanatengeneza uwanja mkali kiukwrli licha ya matokeo miundombinu inatakiwa iwe mizuri aisee
Ni kweli kabisa unaongeza mapato kwa kuingiza watu wengi na pia watu kufanya kama utalii wacha tuone mbeleni matajiri wamerukia kununua timu huko spain..
 
Hv huyu agent wa Ryan Gravenberch's mnamuelewa kweli? 😂
 
Mambo haya yalitakiwa yafanyika kabla hata January mnasubir mmepoteza vikombe.? Na huyu Salah msimu huu kwake ndio mwisho baada ya hapo atakuwa hana tofauti na sterling
Acha kujisahaulisha kwamba tangu asajiliwe Anfield, haters mnamuita OSW(One Season Wonder)?

Kwa hiyo hizi ngonjera tushazizoea wala hazitutishi
 
Slot confirms that Alisson now fully recovered from concussion and set to start v West Ham. Bradley also expected to start after lively cameo v Fulham.

#JamesPearce
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥At least imekaa sawa ili kuwe na smooth transition with new recruits kwenye nafasi zao...
Salah na VVD wanatupa zaidi ya gemu 40 Kila msimu hivyo sio jambo jepesi sana kwa mfumo wa klabu kutowapa mkataba huku tukiwa hatuna plan B ya hapo kwa hapo.
Good move by FSG. Next is to buy their heir June 2025 ili mapema sana waanze kuridhi mazuri ya Hawa legend wawili...
VVD kupewa mkataba mpya kuniashiria uwekezaji itakua kwa LB na RB dirisha lijalo pale nyuma.
Mbele sell Diaz na Nunez and re invest hio ela front line this time kocha asikilize data guys wanatoa ushauri gani..

YNWA
Kweli umemchoka mdogo wako
Yaani wewe ni WA kusema Nunez Auzwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom