Mmekosea kuwaiga uchezaji wao nyie wekeni soka chini muwasake wataingia tu kwenye mtegoTimu hata kupiga shuti golini haiwezi unaweza kusema ni mazzezeta fulani hivi
KuimbaSasa jota hapa alikua anataka kufanya nini![]()
Una uhakika nyie ndo mabingwa wa carabao bibie?🤣Unateseka ukiwa wapi mama Cita?
Ssi ndio mabingwa wa Carabao na EPL
Wewe una nini hadi sasa?
YamechinjwaMajogoo