Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,198
- 1,466
Agiza Pepsi na kababuu mbili nitalipiaHii mechi ndio nimejua kuwa na kuelewa Slot ni Average Coach
Agiza Pepsi na kababuu mbili nitalipiaHii mechi ndio nimejua kuwa na kuelewa Slot ni Average Coach
Agiza chochote kitu nitalipiaAverage coach utamjua kwenye Tactical Change na Substution, Next season tutapoteana mazima.
Arsenal timu la kifala Sana ubingwa ulikuwa wa kwao kabisa huu wamekalia kuzungusha kalio tu kina saka😁Liverpool mtachukua epl kwasababu ya ubovu wa wapinzani sio kwa ubora wenu.
Aweke kumbukumbu vizuriSahihi kabisa, Liverfool ni mbovu sana
Hey, mambo? 👋🏾Unateseka ukiwa wapi mama Cita?
Ssi ndio mabingwa wa Carabao na EPL
Wewe una nini hadi sasa?