Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nuno Mendez kabla ya game kuanza alimwambia Salah " You will never walk alone"
Halafu ukiachana na Vitinha kuna tactician wa kuitwa Luis Fabian huyu jamaa ni mido haswa ni underrated player ila ndio engine ya Psg.
At one time Fabian alikua target ya Liverpool enzi ya gwiji Klopp....
Ni MF dynamic = cool ruler eneo lake.

YNWA
 
Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
Mpunga wa Uefa ukiwa kinara ni tofauti na aliemaliza wa 2, 3 nk

Kwa ma Yankees hapo walichukua chao mapema tu.

YNWA
 
🤓 Slot "alibeti" of all the players kweli ndio Jones na Nunez wakapewa penati zile... Both have confidence issues kwa sasa...
it's was suicidal by Slot

YNWA
Slot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvu
Nunez kakosa anqjidai kumgongagonga kifuani..Akina Jones akina Nunez siyo wapigaji wa penati
Allison siyo mdakaji wa penati
Unamuachia Alison adake penati, wakati benchi yupo kelleher anakula tu gootime.
Hii mechi kupoteza lawama zote ziende kwa kocha.
 
Na leo Newcastle anatwanga kwenye mshono mpaka mseme 😄😄😄
 
Si juzi juzi tu hapa mlimpiga Tottenham kwenye fainali akabeba ndoo ya UEFA na liverkuku?
Msimu huu unaweza kuwa wa mwisho Salah kuwepo Liverpool
Ilitakiwa aondoke kwa heshima kubwa na kikombe Cha UEFA
Achana na hiyo tuliyochukua miaka ya nyuma.
 
Huyu Saint Anne ni tapeli tu, amechanganywa na PSG wamemkatisha ndoto zake za liverfool kuchuckua treble ndio maana kasahau kama salaha tayari ana UEFA.
Timu ndogo ndogo kama mama Cita ambazo hazikutarajia kuchukua UEFA, hizo zikipata mara Moja zinaridhikaa
Na pengine isije kuchukua tena hadi Dunia hii inafika mwisho.
 
Slot Baba ubaya,akaamua kumtafutia Nunez lawama za mashabiki kwa nguvu
Nunez kakosa anqjidai kumgongagonga kifuani..Akina Jones akina Nunez siyo wapigaji wa penati
Allison siyo mdakaji wa penati
Unamuachia Alison adake penati, wakati benchi yupo kelleher anakula tu gootime.
Hii mechi kupoteza lawama zote ziende kwa kocha.
Slop sio Kocha anatembelea upepo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom