mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,631
- 18,669
Watu wanawaza treble humu unaambiwa 😂😂
Watu wanawaza treble humu unaambiwa 😂😂
Leo Southampton lazima wapasuke
Hakika mkuuHii ndo EPL,
Second half Slot afungue password yakuwafunga hawa jamaa. Point 3 ni muhimu sana leo.
Hilo goli la Nunez nakuhakikishia goli lingekuwa wazi angekosa.Ya wajukuu na vitukuu vyake
pole brother kwa kuweka akiba kicheko chako. Bora ungecheka tangu Half Time. leo akiba imeozaSisi tunasubiri FT tuanze kucheka
Sasa nina uhakika EPL tunachukua. Sina mashaka tena kuanzia leo.Hakika mkuu
Kipindi cha pili Southampton watataka kushikilia Bomba lazima tuwapelekee moto kisawasawa Mpka walegee
Mwenye kucheka FT ndio mshindi.Sisi tunasubiri FT tuanze kucheka
Sisi tunasubiri FT tuanze kucheka
Huwa kuna kaconfidence fulani tukiwa tunaongoza ghafla ENDO uone kasimamishwa aingie.
Janjajanja arts Arse8 na nyumbu,Dunda tu ardhi ya Mola hiiHilo goli la Nunez nakuhakikishia goli lingekuwa wazi angekosa.
Tembea kwenye ardhi ya mola kwa nidhamu.
N de A