Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kusema ukwel mechi ya juzi ilikuwa ni Allison becker vs psg. Whether we like it or not 📌📌📍🔨
Inanikumbusha tukio la wanamgambo wa Hamas Oct 7 walivyovamia kambi ya IDF mpakani mwa Gaza na kuanza kuwatembezea kichapo wanajeshi wa IDF.

Liverpool waliteseka sana hawakuamini walichokutana nacho japo walishinda,
 
Mdau mambo ya hamas na Liverpool wapi na wapi?
20250307_134034.jpg
 
Inanikumbusha tukio la wanamgambo wa Hamas Oct 7 walivyovamia kambi ya IDF mpakani mwa Gaza na kuanza kuwatembezea kichapo wanajeshi wa IDF.

Liverpool waliteseka sana hawakuamini walichokutana nacho japo walishinda,
yaani unasema umebakwa ila sio sana pole mzee ndio tushashinda sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom