TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,193
- 18,221
Ubingwa gqni sasa?Kwahiyo nyie aseno mtachukua lini ubingwa?
Ulisema mnaanza ligi mwezi January😆😆
Hebu qcheni utani
Ubingwa gqni sasa?Kwahiyo nyie aseno mtachukua lini ubingwa?
Ulisema mnaanza ligi mwezi January😆😆
Nilichojifunza kwenye haya mambo ndugu ni kwamba fulahi cheka wakati uliopo maana upepo ukigeuka ni masikitiko mara ingekua vile mara ingekua hivi nk nk angalau hatujasubiri miak 30 tena kukwea kombe tamu....Msimu huu tutamaliza tunacheka lakini Dah msimu ujao namuonea huruma Slot atakuja kukutana na Pressure ya Mashabiki, Media, Social Networks kubwa sana iwapo hataungwa mkono kwa usajili
Nilichojifunza kwenye haya mambo ndugu ni kwamba fulahi cheka wakati uliopo maana upepo ukigeuka ni masikitiko mara ingekua vile mara ingekua hivi nk nk angalau hatujasubiri miak 30 tena kukwea kombe tamu....
Lets enjoy the ride, we live for the moment...
Its coming home, la 20 hilooo Anfield....
Tetesi next season Slot anapewa mpunga aanze kusuka kikosi chake maana cha sasa ni Klopp mwanzo mwisho....
YNWA
Nakumbaliana na wewe asilimia 💯.Akianza kusuka kikosi chake ndiyo ataanza rasmi kupata challenge za kufundisha EPL.
- Kwasababu ubora wake utaanza kuonekana kwenye usajili, akikosea hapo basi balaa ndiyo linaanza.
Muhimu atuletee Striker, DM na RB ready made to use kwasasa then wengine wanawezakuwa squad players tu until next window ndiyo ahamie kwa Winger.
🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 allypipi njooo huku ndugu kuna RIP inakuhusu.Arsenal ilipotea mazima baada ya kujenga uwanja mpya
Spurs ilikufa kabisa baada ya kujenga uwanja mpya
Hii kwasababu kushikilia projects mbili (uwanja na usajili) zinazokula mabilioni ya Dola ni jambo gumu sana hivyo matajiri huamua kusacrifice Timu ili wakamilishe uwanja.
Sasa Nimepitia kwa makini maneno ya Tajiri wa Man United ni kuwa anasifika Mapato tu yatakayoingizwa na uwanja mpya na sio mafanikio ya Timu.
Hivyo utakapoanza ujenzi wa Uwanja Mashabiki wa Man United wajiandae na maumivu mazito sana project yao ya kujenga Timu itasimama sio rahisi tajiri atoe $2B kwenye ujenzi then atoe £300M kila msimu za usajili ili kujenga Timu.
RIP Man United
Ila Madrid hawajapotea mbona mzeeArsenal ilipotea mazima baada ya kujenga uwanja mpya
Spurs ilikufa kabisa baada ya kujenga uwanja mpya
Hii kwasababu kushikilia projects mbili (uwanja na usajili) zinazokula mabilioni ya Dola ni jambo gumu sana hivyo matajiri huamua kusacrifice Timu ili wakamilishe uwanja.
Sasa Nimepitia kwa makini maneno ya Tajiri wa Man United ni kuwa anasifika Mapato tu yatakayoingizwa na uwanja mpya na sio mafanikio ya Timu.
Hivyo utakapoanza ujenzi wa Uwanja Mashabiki wa Man United wajiandae na maumivu mazito sana project yao ya kujenga Timu itasimama sio rahisi tajiri atoe $2B kwenye ujenzi then atoe £300M kila msimu za usajili ili kujenga Timu.
RIP Man United
Acha uoga, ni nyau de adrizBonge la gemu. Nail biting.
N de A