The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Quality and tactics issues mkuu.kwa jinsi tulivyopwaya in our build up nilidhani uwanja umechangia
Ynwa
Quality and tactics issues mkuu.kwa jinsi tulivyopwaya in our build up nilidhani uwanja umechangia
Kabisa nadhani 433 ugenini haikuwa na manufaa kwetu ndio maana baada ya Jones kuingia kuongea mtu kati akawa anatuliza zaidi mpira na Hendo kuja kati style tofauti ikawatuliza PSG. Ila ukweli hata kabla ya Game nilitegemea PSG watakuwa wamoto sikushangaa sana labda tu nilidhani tungeongeza viungo tu ili kuwapunguza speed maana ni wepesi na fullback zao kutwa walikuwa wana support mbele. Mimi nadhani ni team chache zinaweza kwenda PSG na kupata matokeo ni lazima tujipongeze.It didn't brother.
San Siro 105m by 68m
Old Trafford 105m by 68m
Fly Emirates 105m by 68m
Parc dea France 105m by 68m
Anfiled 101m by 68m
Vipimo vya uefa ni 100m by 65m hii ni baada ya research za wataalamu kuwa uwezo wa wanaume 22 kumudu, pasipo uonevu wa kiafya ya mwili.
Hivyo kigezo cha ukubwa wa kiwanja kimetuathiei kwangu ni Big No.
PSG wana quality kubwa walifunga magoli 15-16 hivi mpaka kufikia jana na walichezana timu nzuri. Arsenal, Atletico Madrid, Man City, Bayern kama sijakosea unaona sasa ni timu nzuri sana.
Slot told his boys hey we can't dominate them in term of possession they have top quality, when it comes to pressing, their Wings on 1v1 they have top quality possession they are good. Haya ni manenno ya Alisson na Slot mwenyewe baada ya game ya jana. Mengi hawakuyasema but i think kuna tactical issues aliwaonesha jinsi ya kudeal na timu za hivi.
Solution ilikuwa kukaa nyuma na kusubiri counters. I said it yesterday before game kuna uwezakano wa ku approach game vs PSG kama ile ya City na ikawa hivyo.
What went wrong? It was
1. Home advantage
2. Quality in the middle of the park
3. Liverpool lack rhythm kwa sababu kuna chances we had on counters but our started front three were not that good enough to capitalize those chances. Salah Jota and Diaz both had poor passing game, poor decision making. It's happen in football.
Slot alijaribu kuwazuia PSG wasipitie katikati bali pembeni ambapo walikuwa wakatili zaidi. Point ambayo naona ilitumeza zaidi ni "uchovu wa akili na mwili" PSG mbali ya tactical battle nzuri battle nyingine ilikuwa physic game.
Again Slot amekuwa mzuri with his subs throughout this season, Jones, Endo, Nunez and later Elliot
Nunez & Endo walileta physical battle nxuri kwa defender & MF, hapo ndipo kidogo ahueni ikaanza kuja upande wa LFC. Jones uwezo wake wa kuhold mpira ukafanya miguu ipumue mwili upate utulivu, hapo pressing ya PSG ikaanza kumezwa hasa baada ya kurudi kwenye 4-4-2 but we were tired enough.
We will change tactics next week, we will go toe to toe with them,,
Ywna.
Unfortunately we were not on our day.Kabisa nadhani 433 ugenini haikuwa na manufaa kwetu ndio maana baada ya Jones kuingia kuongea mtu kati akawa anatuliza zaidi mpira na Hendo kuja kati style tofauti ikawatuliza PSG. Ila ukweli hata kabla ya Game nilitegemea PSG watakuwa wamoto sikushangaa sana labda tu nilidhani tungeongeza viungo tu ili kuwapunguza speed maana ni wepesi na fullback zao kutwa walikuwa wana support mbele. Mimi nadhani ni team chache zinaweza kwenda PSG na kupata matokeo ni lazima tujipongeze.
I think this is SpanishKwa anayefahamu French Language, huyu commentator alikuwa anaimba nini?
Kwasababu tumeifunga Timu ya kwao Ufaransa so, nipo very curious kutaka kujua haya maneno aliyokuwa akiimba yana maana gani.
View attachment 3261066
Spaniola anaimba pasi imetoka kwa darwin amefunga elliot ee ndio hilo ni goli goli toka kwa elliotKwa anayefahamu French Language, huyu commentator alikuwa anaimba nini?
Kwasababu tumeifunga Timu ya kwao Ufaransa so, nipo very curious kutaka kujua haya maneno aliyokuwa akiimba yana maana gani.
View attachment 3261066
Acha uongo,kama ngumu tumeshindaje??Punguza uswahili game ilikuwa ngumu
Wewe sio Liverpool,ni man u.uko negative na timu yetuKops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
Namna mlioshinda ilikuwaje nyepesi au ngumu acha uswahiliAcha uongo,kama ngumu tumeshindaje??
hivi naomba kuuliza
did the size of the pitch affected our performance kwenye mechi ya jana???
Its seasons brother... Now we are witnessing Salah breaking crazy records... We witnessed Gerrard carrying this club almost 'alone'...Older LFC fans, huwaambii kitu kuhusu Ian Callaghan, hahaha.
Kama hajaelewa na hapa hatoelewa kamweClinical finisher is not top goal scorer (not must be).
Umechanganya sana kaka.
Umesema nimewalinganisha Diaz Nunez na Gakpo, wakati nimemuweka mpaka Salah au haujamuona Salah hapo.
Clinical finisher regardless of game play, anapimwa kwa conversion rate yake. Unaweza kucheza dakika nyingi na bado ukawa na poor conversion rate.
Ikiwemo xG, big chances and the likes. Nikupe mf. Jota needs few chances to convert into goals thats why last season second best Clinical finisher EPL kaka sio at Liverpool kama unavyosema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez. Je kwenye chat haujamuona Salah??
Being clinical finisher doesn't mean to be top goal scorer. Gamebya Fulham unakumbuka this season, Jota alikuwa injury akaja his first chance he scored, game vs NF first chance BOOM scored. Hii ndio inayopima clinical finisher. Hii haimaanishi ucheze dk nyingi au kufunga magoli mengi, the amount of big chances you converting.
Nimeona umesema EPL kuna best clinical finisher 20?? Umekusudia clinical finisher ni ST pekee au ? (Mjadala mwingine)
Touches nyingi na assists nyingi hazi define clinical finisher, Narudia tena clinical finisher anapimwa na amepata chances ngapi na amefunga ngapi basi na matarajio ya yeye kufunga ni yapi ? (xG).
Mf. Unaweza kuwa na magoli mengi ila umeyafunga baada ya chances nyingi sana, wakati mwingine anaweza kuwa na Chances chache zinaendana na magoli machache yake.
Kabla ya mimi kusema "our most clinical finisher" ulisema Jota hajawahi kuwahi kuwa clinical finisher, basi bisha kwa data hata hii kauli yako....
Kaka nakuletea na data zaidi pamoja na Salah ni mfungushaji mabao mengi but again Jota is our most Clinical finisher pale Anfield. Waondoe wote Diaz, Gakpo na Nunez, kisha tubaki na
Jota vs Salah.
MSIMU WA 2023/2024
View attachment 3259765
Umeona sasa Salah hapo?? Usiseme tena nimemlinganisha Diaz, Gakpo na Nunez kwamba hawajawahi kuwa wafungaji bora (kwanza
Usinilishe maneno tena kusema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez Namuweka na Salah.
MSIMU WA 2022/2023
View attachment 3259782
Msimu wa 2020/2021
View attachment 3259786
Muangalie Jota and Salah pekee.
Hizo no. Map yake hii hapa
View attachment 3259790
Kwa hiyo concept ya Clinical finisher ina rely kwenye conversion rate ya chances na xG na sio wingi wa magoli au mins played. Kwa sababu unaweza kucheza dakika nyingi still ukawa against xG and conversion rate, Good living example ni Nunez.
YNWA.
🤓🤓🤓🤓Lets it's pass for now mate.Alan & Rush over Jurgen?
Szobo should be the wild card for Slot... Turning to be like Gini type of player... He is evolving really fast this season...I love Szobo, yeah.
But its tempting.
Huyo ndio Nunez wa Benfica aisee engaging others big time.GOOOOOOOOOOAAAAAAAALLLLLLLL!!!!!! WOULD YOU JUST BELIEVE IT – LIVERPOOL LEAD IN PARIS!!! Having been under the pump for almost 87 straight minutes, Alisson pumps a long ball forward which Nunez knocks down, re-collects, and plays across to the arriving Elliott, who with his first touch, slots a first-time shot beneath Donnarumma and into the far corner to give Liverpool a shock 1-0 lead with just three minutes left on the clock!