Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Toka mwanzo nilikuwa na mashaka na Matip
Pumbavu sanaš®
Pumbavu sanaš®
Pumbavu sanaAngalia wanaomba msamaha...
View attachment 2767903
acha tuuPumbavu sana
Hili lireferee na viazi wenzie waliokaa huko VAR wanyongwe
Wewe dada mwakipesile ni shabiki andazi mwandamizi . Ule mpira uliduda kidogo kabla hajauclear na ndio maana haukwenda kwenye direction aliyokusudia sasa hapo unalaumu nini? It was bad luck.Toka mwanzo nilikuwa na mashaka na Matip
Pumbavu sana![]()
mpumbavu Sana huyu dogo
Pumbavu sana
Hili lireferee na viazi wenzie waliokaa huko VAR wanyongwe

We nae hupaswi kumlaumu Matip, kwanza matip kama umefatilia game katuokoa sana hasa zile kona yeye alikuwa anapiga vichwa tu mpira nje, kiukweli ninaimani nae saiv mabeki wote wapo kwenye fom nzuri baada ya kiusajiri kidooogo kilicho fanyika.Toka mwanzo nilikuwa na mashaka na Matip
Pumbavu sana![]()
Anaangalia mpira kwa kutumia Sofascore huyu.Wewe dada mwakipesile ni shabiki andazi mwandamizi . Ule mpira uliduda kidogo kabla hajauclear na ndio maana haukwenda kwenye direction aliyokusudia sasa hapo unalaumu nini? It was bad luck.
Ushabiki wa kitoto huuLiverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Unawashwa. Paoshe na dettol ya maji kupunguza miwasho maana unapakuna sana.Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Alafu eti na wao wanataka walipwe kama wachezaji pumbavu zao hao wabaki na vihela mbuzi ivyo ivyo.
Toka mwanzo nilikuwa na mashaka na Matip
Pumbavu sana![]()
Uogoro gani? Ukitoa Magolikipa wa pande zote mbili kwenye Pitch wanabaki wangapi?Acha kula ugoro, wachezaji saba gani hao walibaki?