Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo vimbelembele wote mmechezea makonzi ,kasoro yule pimbi ,kilaza asenyeto ,Dawa yake inachemka
Soon atakutana na konzi ya chuma cha mjerumani
 
Asee imeniuma sana dah. Sema nini , lets be optimistic . . Kama sio red hizi hakika leo tungekaa pale juu. Dah ni ngumu kufutika kichwani hii kumbukumbu ya leo.
 
Angalia wanaomba msamaha...
img_1_1696102130408.jpg
 
Hongereni liver. Pamoja na red cards zote mbili bado mmewabana tot. Tot wanatumiaga nguvu nyingi kuliko akili kwenye mpira
Wanapewa red card ndio wanatumia nguvu kuliko akili ,acha ubadili uhaisia
 
Screenshot_20230930_230427.jpg


Hivi hii VAR mbona miyeyusho sana walishindwa nini pale kuchora vile vimstali kuona kama goli la Diaz ni offsides aafu hapa wanajitokeza eti kuomba msahamaha kwa makosa yao yaaani like serious kweli bado VAR inatugharimu mchana kweupee.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom