Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FT

Spurs 2 - 1 Liverpool

Let's focus na next game

Haya kutokea kwenye mpira ni kitu cha kawaida.

Hakuna haja ya kumlaumu yeyote.
Why always us in red cards? Sisi wapinzani wetu hawapati red ni sisi tuu mechi ya tatu sasa
 
Nimefurahi mlivyofungwa ila kibinadamu goli alilojifunga Matip limenifanya nimuonee huruma sana.

Hebu angalia shabiki wa Liverpool ulivyoumia, halafu fikiria Matip aliesababisha mfungwe anavyojiskia!

Tukiacha feelings za mpira, jamaa anahitaji sapoti sana kama binadamu.
 
na kinachouma Zaidi Ni Vile Tumechezewa Leo. So Unfair Decisions.

Hawa Marefaa Ni Kama Wakwetu tu Hawana Lolote Mandezii Awa. Licha ya VAR lakini bado wanabolonga tu.
 
Diaz goal lilikuwa halali kabisa hakuna offside pale na hata first yellow card ya jota hakumgusa kabisa alianguka mwenyewe

Howard web uwa miyeyusho sana vs liverpool toka enzi za Ferguson linapokuja swala la Liverpool anakuwa mpuuzi sana
 
Kiroho safi kabisa naomba leo niwapongeze wanangu wa Liverpool, pamoja na kula kadi 2 nyekundu lakini mmepigana kiume haswaaa, hii ni mechi ya kwanza ya kibabe sana tokea msimu huu uanze.
Mechi za kiume namna hii hua tumezoea kuziona mnapocheza na Chelsea.
 
Hii ndiyo Liverpool niipendayo. licha ya kushushwa nguvu kwa kukataliwa goal na red kadi ila imesimama imara....kujifunga ni bahati mbaya respect
1696100251837.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom