Gomez ameanza kurudi kwenye form yake ya 2018/2019.
Katikati bado hatujapata mtu wa kazi chafu kweli, SOBO na MACA hawawez kuhold ,, tupo exposed sana safu yetu ya ulinzi
Shinda Klopp hapendi kabisa kupangiwa you remember sometimes last year Gareth Southgate alisema huyu dogo is probably a better player in MF kuliko RB.. Klopp wala hakutaka kusikia kingine zaidi ya dogo ni RB mpaka pale alipokuja kuona hali si hali dogo sasa acheze hybrid RBMF..
YNWA
hilo dimba lilitunyima ubwingwa wa EPL 2018/2019.Wapo London Stadium...
YNWA
Against City au Brighton tutajua vzr madhaifu yetu.
January window we must do something for the survival,, Tupate uhakika wa EUROPA.
Klopp hapangiwi aisee alafu sina imani kabisa na huyu Ryan Gravenberch sijui klopp kaona nn kwake [emoji23][emoji23]
Hapo tu ndio hua natoa macho ndugu yangu maana Klopp anapingana na data proven stat kwamba dogo output yake kama RB anatuangusha sanaaaa....Msimu huu ameshafanya makosa mawili yaliyozaa magoli. I don know why Klopp anajaribu sana kubishana na ukweli
Klopp huwa hanaga imani ya moja kwa moja kwa new signing , refer kwa FAB3, Keita8.Ni fikiri Klopp has to find a good system defensively. Hamuamini Endo na hakukua na haja ya kumsajili Endo na haumchezeshi wakati timu yako inahitaji DM ukamnunua DM kwa ajili hiyo.
Surprising thing huu msimu , hatuchezi kwa pressure, ni kama wachezaji wanamentality kuwa hata kama tuko nyuma kwa goli still the game is ours.
Hivi ndio msimu huu tulikwenda Manchester United Ole Trafford wakiwa na majeruhi wa kutosha aafu Klopp akapanga kikosi cha sare?hilo dimba lilitunyima ubwingwa wa EPL 2018/2019.
WHU walishinda goal 1 first half ilikuwa set peace ikapigwa kihuni washenzi wakashikilia bomba mpk mwisho.
Isitoshe EVERTON na wale wazee wa king power (Leicister) nao walichukua point moja moja kwetu . Kipara akachukua kombe kwa difference ya point 1.
Ule msimu ulikuwa wa machungu sana tuliandamwa na draw za kutosha , machungu ya lipozwa na UCL.
Wakuna mnasema aje sasa....
So we are Title Contenders 2023 2024 ama namna gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kipara must be scrubbing his bald head maana Klopp with his un balanced squad will make him sweat all the way mpaka May 2023...
YNWA
KLOPP angeacha EGO hapo katikati misimu ya nyuma muda huu tungekuwa tunazungumzia 21 EPL with NYUMBU behind us.Klopp anakuambia βingawa nipo hapa mwaka wa nane, lakini huu ndio mwaka wa kwanzaβ WHAT DO YOU EXPECT ?
Napenda hii mentality tuliyonayo kwa sasa
Hivi kweli watu wanafatilia mpira na hawajui kwanini Nunez na Diaz wameanzia bench?wala hawajui Leo kwanini Macalister alikuwa kachoka sana?...
Wachezaji hawajapata masaa 72 ya kupumzika kutoka safari Yao ya international matches......mtu anashangaa why wanaanzia bench?
Yah nakumbuka nyumbu walipata Red card Klopp asivyo na Aibu akasingizia ile Red card imetutoa mchezoni as if tuliipata sisiHivi ndio msimu huu tulikwenda Manchester United Ole Trafford wakiwa na majeruhi wa kutosha aafu Klopp akapanga kikosi cha sare?
YNWA
Definitely mapema sanaa aisee kuna mechi za kutosha hawa senior players watahitaji kulindwa sana kutopata majeruhi ya muda mrefu na njia pekee ni ku incorporate hawa junior players kikosini mapema ili kujenga ari ya ushindi...Klopp need to find a good way for players to get game time.
Doak,Bajcetic, Quansah
Its a long marathon.
2nd Klopp need to find a good way defend with double pivot and give Macca his 8 role and he can fire
Sioni Klopp akitafuta RB na dogo kashapewa kitambaa cha unahodha katika umri ule.Hapo tu ndio hua natoa macho ndugu yangu maana Klopp anapingana na data proven stat kwamba dogo output yake kama RB anatuangusha sanaaaa....
YNWA
π π π π π Ule msimu Klopp alikua na visingizio kama vyote mara upepo, mara barafu, mara muda wa mechi, mara kadi nk nk...bottom line hakuna risk taker kwa baadhi ya mechi kwenda full throttle...Yah nakumbuka nyumbu walipata Red card Klopp asivyo na Aibu akasingizia ile Red card imetutoa mchezoni as if tuliipata sisi
Mashaka zaidi kwa CB what if Vvd , Konate wakapata injuries za muda mrefu then totally we are doomedDefinitely mapema sanaa aisee kuna mechi za kutosha hawa senior players watahitaji kulindwa sana kutopata majeruhi ya muda mrefu na njia pekee ni ku incorporate hawa junior players kikosini mapema ili kujenga ari ya ushindi...
YNWA
Ile mechi ya City vs leicister Nilianza kuona upepo wa title unakuja kwetu maana mpk dk ya 70 ngoma iko 0-0 . Company akaja kuharibu siku vibaya sana.π π π π π Ule msimu Klopp alikua na visingizio kama vyote mara upepo, mara barafu, mara muda wa mechi, mara kadi nk nk...bottom line hakuna risk taker kwa baadhi ya mechi kwenda full throttle...
I suppose Kompany aliwapiga Leicester goli moja matata sana full nondo top corner na ilitosha kuwapa ubingwa nsimu ule
YNWA
Yaaani hii ni Scouser mentality never say die never give up until the last kipenga, ishu sasa wasizoee hii trend maana kuna wakati inaweza kula kwetu...
So far we are damn lucky...
YNWA
Sina mashaka na unahodha wake mbali at his experience now at Top Flight he is supposed to play better kuliko anavyocheza sasa...Sioni Klopp akitafuta RB na dogo kashapewa kitambaa cha unahodha katika umri ule.