King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Visa vya Rent boys lazima ucheke tu.
Olachuga anaenda kwenye uzi wa Manure anaandika kuwa lazima wafungwe na Arsenal, then anarudi kwenye Uzi wa Arsenal anawaandikia lazima wafungwe na Manure.