choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Matokeo leo inabidi yawe ushindi tuu, sare ni mbaya kuliko kufungwa
Wachezaji ni kama wanawake tu akipendwa na mwenye hela zaidi anasepa kumganda mchezaji ni kujivuluga tu.
Salah kesha tamani kuondoka tukubali mabadiliko.
Klopp anazuga tu pesa anaitaka

AiseeeeeLeo Nu Casto wanangu hawatotuangusha. Pigaaaaaa mbwa hao Livakuku
Akisepa itapendeza sanaSalah asepe tu hakuna cha rebuild hapa tunampotezea muda tu kila msimu 40+ contribution ya magoli na assist bila kombe lolote.
2019 fainali vs Tottenham ukuta ulikuwa na arnold, Matip, Dijk na Robertson na sub alikua Gomez tokea muda uo awa jamaa uwezo wao umepungua kwa kiasi flani
2023 leo hii vs Newcastle ukuta ndio ule ule na sub ni ile ile uku wakilindwa na 30 aged midfielder kama usajili mpya
Then mnasema kuna rebuild hapa![]()
Pia tumesajiri kiungo mwingine Ngũgĩ wa Thiong'o na style yake ya ushangiliaji ijulikanayo kama "Weep Not, Child"




VVD nae anapewaje Red card? Huu ni upuuziKukamiana SANA,sijaielewa yellow card ya Arnold ameipataje?
VVD nae anapewaje Red card? Huu ni upuuzi










