Sure bado haitakuwa bad idea too.
Tunamscout Adre Trindade wa Fluminense. DM mzuri sana mbrazil na mazungumzo yanaendelea huko.
Fluminense wanataka kumtoa ligi ya brazil ikiisha na hiyo ni december kuelekea January, ambapo wanataka tusubiri mpaka winter transfer na bei yake inakuwa £19m. Ila kama kumchukua kwa sasa bei £40m ni sisi kuamua.
Kuhusu CB we are not looking senior one as per Klopp. Klopp anataka left footer CB young one ila amabaye hataingia kwenye kikosi moja kwa moja. Kama ni hivi binafsi nanona tumuamini academy product yetu Jarell Quansah.