Wakati sisi tunasubiri Nunez aje kuwa mzuri, muda huo City hawasubiri, ni kusajili vyuma kwa vyuma na halaand kuendelea kutupia huku sisi tunasubiri meli aitportMosDef
Kuna vile Klopp anajishindwa kujihimili. Ni aina ya watu wanaogopa mabadiliko ndio maana mpaka limkute jambo baya kwa mfuatano ndipo akubali mabadaliko.
Im sure last season tungekuwa na season nzuri usingeona offload zilizofanywa. Baada ya vipigo vya Brighton, Wolves akaona yameisha.
Kwa Nunez yes bado nafasi ipo ni Klopp tu aamue kuswitch mifuko yake. Kocha mzuri ni yule mwenye uwezo pia wa kutumia rasilimali alizonazo kwa usahihi. Binafsi Nunez bado atakuja kuwa mfungaji mzuri sana, suala la muda tu. We are struggling kwenye possessional play kwenye mechi mbili za mwanzo wa ligi. Hii ni kukosa power kwanye middle of the park. Destroyer, Monster.
We need to react as early as possible before 1st september kupata atleast DM & CM baada ya Klopp kuonesha amemaliza na mabeki na ataendana nao hao hao.
Sijui kwa nini Klopp haoni ana vitu hivi kwenye backline yake
1. Injury prone
2. Age
3. Lack of defending ability.
Robbo kwenye new system amekuwa uchochoro sana, last game alionesha kiwango kizuri but against who???
TAA hatuna mjadala huyo sio defensive asset.
Lets wait and see. Natamani tumsajili Andre his number, zinakupa picha kinda 6 we will have. Fluminense wants £40m now to trigger release clause or wait for January and pay £19. Better now than January
Then get another CM and we will be enough ready to compete.
Tukiwa na Midfielder nzuri, Back nzuri amini usiamini Ben Doak na Elliot watang'aa sana EPL amini nacho kwambia mkuu.Tatizo la hii timu inafanya replacement taratibu mno kitu ambacho ni kinyume na soka la sasa hivi
Mwaka wa pili sasa huu tunatumia kuboresha kiungo cha timu amini kwamba msimu ujao tutakuwa na zoezi jipya tena la kurekebisha defence nikangalia umri wa van dijk injuries za konate na kasi ya robo naona kabisa kuna shida msimu ujao ambayo nayo itatusumbua kuitatua kwa miaka miwili
Sijaongelea umri wa salah unasogea na maofa ya uarabuni pia so tunaaanza tena kuhangaika na winga ya kulia eliot na doak tutawabebesha msalaba tu kuwapaa ilo jukumu
Hivi ni lini kutakuwa na proper team yenye subs za uhakika
Haya mambo ndio yalifanya suarez na torres wakaondoka yani kila mwaka sisi tujengaga team
Ni mpaka tuwe nao sasa afisaTukiwa na Midfielder nzuri, Back nzuri amini usiamini Ben Doak na Elliot watang'aa sana EPL amini nacho kwambia mkuu.
Hapo, kwenye kutumia rasimali alizonazo ndiyo tatizo pia.
Last 10 games za msimu uliopita, tumetumia 3223, Trent was inverting kutokea kwenye flanks (his RB position) tukiwa tunashambulia au tukiwa tunamiliki mpira, but hii system inahitaji vitu viwili muhimu sana, a strong backline, na a strong MF, hapa kwenye strong MF, unahitaji DM ambaye ni good holder/retainer/ball winner, sasa msimu huu hatuna hata a fatigued ball winner/retainer, na tupo short kwenye upande wa backline, bacause Robertson ana-struggle sana as LCB (ni orthodox FB), we Konate and Virgil, we just a good ball playing LCB with good recovery pace & possesional play.
Good LCB ambao ni very attainable na wapo kwenye market for a fair price.
Hancko
Tapsoba
Hincapie
Lukeba
Theate
Murillo (Forest are in a strong position)
Tosin
Geertruida
Etc..
Kwa LFC ili ku-perfect hiyo set-up to the fullest, tunahitaji tu a good functional & ball winner (CDM) na LCB, Gomez angekuwa ana mental stregth ya ku-overcome uoga wa kupata injuries tena, angekuwa ni strong contender kwenye upande wa LCB, but can we even trust him? i've maintained kila siku kuwa, Gomez is a very good player, his recent interview ambayo inazungumzia his mental struggles kuhusiana na injuries, zinaonesha anahitaji msaada mkubwa sana wa kurudisha ubora wake.
Players tulionao, ni rahisi sana kuwa-deploy kwenye 442/4231 japokuwa bado tutapata tabu sana kwenye ku-sustaib transitions, but our attacking strength/force itaficha gaps nyingi, na kama Klopp haoni umuhimu wa LCB kwasasa ni fair kama akitumia 433 if tukifanikiwa ku-sign a DM.
Andre, hata akija now, itakuwa ngumu sana kucheza, mpaka sasa kwenye league yao ya Brazil, amecheza minutes za kutosha, so hata akija now atahitaji rest, ndiyo its safe ku-structure deal ya January.
Salah, will NOT leave this summer.
Na, hata kama Klopp akimuweka bench, he wont leave.
You understand kuwa LFC ndiyo wana-hold all the cards here? LFC ndiyo wana final say, aondoke au abaki, na kwa kutumia simple logic tu, Club haiwezi ku-sunction deal ya Salah now, kipindi hiki ambacho zimebaki siku 6-7 dirisha la usajili lifungwe.
Hao wa-saudi, watapiga kelele kwenye medias, wataongea na Salah & his camp na blah blah blah zote, but LFC & Klopp ndiyo wenye final say, na ndiyo maana Klopp kasema leo kwenye press kuwa hatuta-entartain mazungumzo yeyote.
Mimi binafsi, kama wa-saudi wangekuja mwanzo wa wa dirisha la usajili, ningemuuza Salah £100-150m siyo pesa ya ku-turn down for a 31 year old player, na nadhani hata club isingejiuliza mara mbili, but kwasasa, this late in the window, hakutakuwa na nafasi ya kuanza ku-discuss/find his replacement.
But, Club inajua kuwa next summer, wa-saudi watarudi, and they will be happy to do a deal, at 32, you cant turn down £100-150m.
We will 100% sell him next summer & invest on another 1-2 good RWs.
We can try and use Quansah now at LCB.
German jornos, wanasema BM wana-expect a bid from us, ya Manu Kone.
Tatizo la hii timu inafanya replacement taratibu mno kitu ambacho ni kinyume na soka la sasa hivi
Mwaka wa pili sasa huu tunatumia kuboresha kiungo cha timu amini kwamba msimu ujao tutakuwa na zoezi jipya tena la kurekebisha defence nikangalia umri wa van dijk injuries za konate na kasi ya robo naona kabisa kuna shida msimu ujao ambayo nayo itatusumbua kuitatua kwa miaka miwili
Sijaongelea umri wa salah unasogea na maofa ya uarabuni pia so tunaaanza tena kuhangaika na winga ya kulia eliot na doak tutawabebesha msalaba tu kuwapaa ilo jukumu
Hivi ni lini kutakuwa na proper team yenye subs za uhakika
Haya mambo ndio yalifanya suarez na torres wakaondoka yani kila mwaka sisi tujengaga team
Taiwo awoniyi tungempa mda na game time, ni bora kuliko Nunuz