Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

klop ni kocha ambae amekalili sana mfumo na wacheza kuna watu kawakumbatia miaka ndo kawaacha bure msimu uliopita na ni kocha ambae haamini vijana kabisa. gadiora ni kocha aliekamilika kabisa angalia timu yake saivi ina watoto wengi na wanapiga mpira wakutosha klop ana mchezaji gani kijana anae mpa nafasi?,,,klop na backline yake ni hio hio miaka na miaka inabidi awe anabadilisha hata huyo vvd kashajichokea saiv anahitaji apewe mtu awe ana mpa challenge kwa kifupi tu klop hajiamini hata yeye mwenyewe,,,gerald angepewe hii timu

Maneno ya mwisho hapo
Pamoja na yote acha Klopp aendelee tu kukaa hapo vivyo hivyo tutafika.

Gerrard aliprove kushindwa pale vila timu haina presha yoyote ile, pale Liva ndio apaweze??

Mkuu kuwa serious kiasi, Gerrard haja prove anaweza na uingereza wake ndio kabisaa unagongelea msumari. Lini kocha wa kiingereza alishine na kuwa bora??

Let Klopp be our Coach pamoja na mapungufu yake lakini bado tupo kwenye ramani ya mpira aise.!!!
 
MosDef

Read somewhere LFC is among club with beat scouting but problem are to both Klopp & FSG.

Hawa wote nawapa Lawama kwa 50/50 kwa wakati husika. Klopp alizingua kwa kung’ang’ania Henderson, Gomez, Milner kuendelea kupewa mikataba. Na klabu iliingilia kati baada ya Klopp kutaka kumpa new contract Milner. Bobby akajiondoa mwenyewe.

Jurgen had chance to win more major trophies, ila kwa jeuri zake na kiburi amebaki na yale yale tu aliyoshinda back 3 years.

Sijui Klopp anajua na anafanya makusudi ku prove majority wrong au hajui kabisaaa, kwamba hana CB, RB, LCB (wa kucheza kwenye mfumo wake) na DM.

Nasubiri deal ya Andre Trindade kwa hamu zote that guy is a baller. £36 ni hela ipo ndani ya uwezo kabsa, and good thing Andre ameshaonesha nia yake yote ya kutua LiverpoolFc. What are we waiting??? Najiuliza kwa nini tunachukua muda mrefu wa mazungumzo na mwishoooni bado tunafeli???

8 days to go.
 
pamoja na kumkubatia klop ila kwa sasa sioni nafasi yake kushinda kombe lolote katika miaka 2 ijayo,,timu hii imeoza mzee na yeye amechangia kwa kiasi kikubwa sana anachukua mchezaji anakua nae mpaka anazeeka nae,,angalia mfano mzuri wa pep anaweka wachezaji ambao wana njaa ya kushinda
 
Of course Klopp anajiharibia mambo mengi tu.

1. Ikiwemo kuchelewesha sajili ambazo ni ndogo ndogo sio za gharama kubwa. Mf. Dili la Lavia lingeenda vizuri tu tatizo yeye hakumrate that much highly.

Adre Trindade deal linasua sua

2. Muongeaji kuliko vitendo. Tutasajili tutafanya rebeuild, najitaji beki wa kati kijana mwenye kutumia mguu wa kushoto. Ni kweli tunahitaji viungo bado tupo sokoni n.k

3. Mkaririfu wa kikosi mpka formation. Anakumbatia mchezaji kiasi hata akiwa chini ya kiwango hawezi acha kumuanzisha. Sio mnyumbulisho na kikosi chake off position ni sehemu ya maisha yake kiasi hauoni kiwango cha mchezaji husika.

Anyway tuendelee kujionea kwanza na kutunza maneno. Lkn ukweli tuendapo Klopp ataanza kuzibeba lawama na FSG watapumzika.
 
Nakubali we need a 6 mwngine kwa ajili ya long time perspective especially a younger lad lkn usimuanderestimate that japanese guy alikuwa most outstanding dm ( kwa statistics katika bungersliga mwaka jana), ni captain wa japan so with his leadership traits and perssion atawashangaza wengi( mark my words) time will tell
Mkuu, we have been here before.

This is Liverpool Football Club, ukiwa na players kama Alisson, VVD, Trent, Thiago, Szo, Macca, Salah, Jota, Diaz etc kwenye team yako, the aim lazima iwe ni title challenge, minimum ni kumaliza top 3, hakuna excuses kaka.

Wataru Endo is 30, kasajiliwa kutoka katika team ambayo imekuwa iki-fight relegation battle for few months now, sisemi kuwa ni bad players, NO, he's a very good utility squad player, and that should be his main role kwenye squad, hatuwezi ku-fight!/enter kwenye PL titles battle without a top class 6, you're an LFC fan, unaelewa kuwa kombe letu kubwa la kwanza kushinda under Klopp lilikuja baada ya kum-sign Fabinho, he elevated the whole team, na always katika football, a good 6 ndiyo main stamp ya team, wakati tupo on top of the world, Fabinho was the DIFFERENCE, kama ilivyo kwa Man City na Rodri, he's the DIFFERENCE, fabinho alivyo-drop in form our whole structure crumbled.

And, Fabinho managed to stamp our structure akiwa anacheza na kina Henderson/Milner, sasa imagine what a top class 6 can do with Szo & Macca as his partners?

I like Wataru Endo, i think he will be so useful at the club, but tusimpe sana mzigo wa expectation, he's 30.
 
Genius
20230102_223718.jpg
 
Mkuu ypo deep.
 
Mkuu, we have been here before.

This is Liverpool Football Club, ukiwa na players kama Alisson, VVD, Trent, Thiago, Szo, Macca, Salah, Jota, Diaz etc kwenye team yako, the aim lazima iwe ni title challenge, minimum ni kumaliza top 3, hakuna excuses kaka.

Wataru Endo is 30, kasajiliwa kutoka katika team ambayo imekuwa iki-fight relegation battle for few months now, sisemi kuwa ni bad players, NO, he's a very good utility squad player, and that should be his main role kwenye squad, hatuwezi ku-fight!/enter kwenye PL titles battle without a top class 6, you're an LFC fan, unaelewa kuwa kombe letu kubwa la kwanza kushinda under Klopp lilikuja baada ya kum-sign Fabinho, he elevated the whole team, na always katika football, a good 6 ndiyo main stamp ya team, wakati tupo on top of the world, Fabinho was the DIFFERENCE, kama ilivyo kwa Man City na Rodri, he's the DIFFERENCE, fabinho alivyo-drop in form our whole structure crumbled.

And, Fabinho managed to stamp our structure akiwa anacheza na kina Henderson/Milner, sasa imagine what a top class 6 can do with Szo & Macca as his partners?

I like Wataru Endo, i think he will be so useful at the club, but tusimpe sana mzigo wa expectation, he's 30.
Mkuu ypo deep.
 
MosDef

Read somewhere LFC is among club with beat scouting but problem are to both Klopp & FSG.

Hawa wote nawapa Lawama kwa 50/50 kwa wakati husika. Klopp alizingua kwa kung’ang’ania Henderson, Gomez, Milner kuendelea kupewa mikataba. Na klabu iliingilia kati baada ya Klopp kutaka kumpa new contract Milner. Bobby akajiondoa mwenyewe.

Jurgen had chance to win more major trophies, ila kwa jeuri zake na kiburi amebaki na yale yale tu aliyoshinda back 3 years.

Sijui Klopp anajua na anafanya makusudi ku prove majority wrong au hajui kabisaaa, kwamba hana CB, RB, LCB (wa kucheza kwenye mfumo wake) na DM.

Nasubiri deal ya Andre Trindade kwa hamu zote that guy is a baller. £36 ni hela ipo ndani ya uwezo kabsa, and good thing Andre ameshaonesha nia yake yote ya kutua LiverpoolFc. What are we waiting??? Najiuliza kwa nini tunachukua muda mrefu wa mazungumzo na mwishoooni bado tunafeli???

8 days to go.
Last season na hii transfer window, Klopp ndiyo wa kulaumiwa kwa kila. kitu.

Klopp assumed power kwenye upande wa Recruitment department, mifano ni mingi sana. Nunez & Gakpo ni suggestions za coaching staff, data people/scouts werent involved, sisemi kuwa ni kitu kibaya, because coaches nao wana eyes za kuona talents, kitu kibaya ni kukataa players ambao wanakuwa suggested na watu ambao wameajiriwa na club kwa kazi hiyo, players kama Alisson, VVD, Konate, Kostas, Mane, Salah, Gini, Robertson, Jota, Diaz etc wote hawa walisajiliwa under Klopo reign na recruitment team na wote wamekuwa na mafanikio at the club, sasa kwanini usiache the same rectruitment team ifanye kazi yake? why uingilie kazi za watu? scouts unawalipa wa nini sasa?

Now, scouts wanakuletea files za Jude & Tchou, but unawakosa, then scouts hao hao wanakuletea good alternatives, na unazikataa? why?

FSG are not to blame, kabla hata ya msimu kuisha, a lot of DOF names zilikuwa presented at the Club, Klopp akazikataa, and went on and hired his friend Jorg, na tunaona mess inayofanyika kwenye hii transfer window now.
 
Transfer window, ikiisha, we need to reset everything kwenye upande wa management, get a good DOF, tengeneza again a good/working recruitment team.

Klopp, should stick na mambo ya uwanjani tu, let people ambao ni wataalam kwenye field ya scouting na data wafanye kazi yao.
 
Of course i agree with you.

FSG wamekubali kuweka mzigo for sure this summer tatizo lipo kwa Klopp na Jorg.

Haya yote makosa ni pale Henderson na Gomez kuongezewa mikataba mirefu. Kwa sasa tulihitaji atleast 4 world class include Dommy and Macca. Lakini kila deal ama rejection ya mchezaji au bid.

Miongoni mwa vilabu matajiri duniani unashindwa kutoa £36m kwa Andre. He is a class we need. Klopp ana weakness mahali kwenye ubongo wake sio bure ana Ujerumani umemkolea haswa.

Klopp huyu huyu, alimtaka Matheus Nunes last summer ila mwishoooni akamkataa, deals nyingi tuna turn down kwenye kuweka pesa.

DM na LCB were must have already. We shall see 7 days to go.

Lets wait maana Klopp ana mengi yaliyofanya tusibebe back to back major trophies. Off positions hii imewafelisha baadhi ya players na tusione ubora wao
 
Jamie Carragher said too, we need to go back and rest things:
 
Klopp hakumtaka Nunes, he REJECTED him.

Nunes was presented to him na Julian Ward, fee yake ilikuwa £40-45m, Klopp rejected the idea.
 
Last season na hii transfer window, Klopp ndiyo wa kulaumiwa kwa kila. kitu.

Klopp assumed power kwenye upande wa Recruitment department, mifano ni mingi sana. Nunez & Gakpo ni suggestions za coaching staff, data people/scouts werent involved, sisemi kuwa ni kitu kibaya, because coaches nao wana eyes za kuona talents, kitu kibaya ni kukataa players ambao wanakuwa suggested na watu ambao wameajiriwa na club kwa kazi hiyo, players kama Alisson, VVD, Konate, Kostas, Mane, Salah, Gini, Robertson, Jota, Diaz etc wote hawa walisajiliwa under Klopo reign na recruitment team na wote wamekuwa na mafanikio at the club, sasa kwanini usiache the same rectruitment team ifanye kazi yake? why uingilie kazi za watu? scouts unawalipa wa nini sasa?

Now, scouts wanakuletea files za Jude & Tchou, but unawakosa, then scouts hao hao wanakuletea good alternatives, na unazikataa? why?

FSG are not to blame, kabla hata ya msimu kuisha, a lot of DOF names zilikuwa presented at the Club, Klopp akazikataa, and went on and hired his friend Jorg, na tunaona mess inayofanyika kwenye hii transfer window now.
Hivi mkuu, Klopp aliona nini kwa Nunez mpaka kutoa pesa kiasi kile halafu sasahivi hampi game time?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom