Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gakpo mmoja ni sawa ni kikosi kizima cha Chelsea plus Tajiri wao Miluzi.

Caisedo akija Liverpool tunaweza kumpatia kazi ya kubeba mipira ya mazoezi na chupa za maji.
kama endo kaja kaingia first 11 ii tim ata mkude akija anazama apo mngempata caisedo c angekua meneja wa tim kabisa
 
Story fupi
20230814_122624.jpg
 
Liverpool hakuna kuhangaika kukimbizana na majina makubwa,vipaji vipo,kazi ni kuvigundua tu

We are delaying kuvichukua. Kwa sababu ya kocha. Nakuhakikishia sera ya buy to sell under Edward ilikubali na alikuwa na vision nayo.

Tatizo Klopp aliingilia kati akang’ang’ana na wazee wake na inequalities.

Awe amebadilika completely.
 
Yeah! Ni kweli Liverpool vipaji ni vingi tu aisee, ila sasa Klopp atafute Mbinu huu mpira wa kuvizia vizia ipo siku tutapigwa sana. Anatakiwa atafute Formation mpya na wachezaji wawe na kasi .

Leo tumempiga Bournemouth kesho tutakutana na Newcastle, Em ona tulivyo kimbizwa na Chelsea sikuile wachezaji hawana kasi ni kuvizia Counter tu na unavyo jua maisha yamebadilika sikuiz mbinu ni mhim ukipoteza mpira una recovery mapema sasa sisi sasa tusifurahie ushindi wa leo tufocus mbele kwanza.

Mkuu kwa mpira anaoufundisha Klopp lazima uwe na athletic player in the middle of the park kama ilivyokuwa kwa Faby na Gini then Hendo na Milner.

We are lacking these kinda players. Endo yes kaja katuliza team vizuri mno. Ingizo la Endo jana lilikuwa kama mchezaji star ametoka injury ya muda mrefu. Aliituliza timu yote licha ya kuwa pungufu pengo halikuonekana.

Endo kaingia Szoboszlai kapewa uhuru alipiga uwanja mzima. Hii ina maana kama tunapata DM mwingine na CB then tutakuwa na msimu bora kulinganisha na msimu uliopita. Rai yangu kwa Klopp aachane na off positions.
 
Gakpo anatakiwa akae nafasi ya Jota yaani False 9 sasa kumchezesha mido mi naona anaichoma kambi.

Alilazimika Klopp kufanya hivyo hakuwa na option. Nafikiri coming matches atarudi position hiyo kwa uwepo wa Endo, Bajcetic, Thiago.
 
ila Backline inanipa headache sana yani ikishambuliwa kidogo tu inakuwa underpressure inagawa mipira kwa adui

Mkuu sana. Kabla backline haijafikiwa na kunyanyaswa ujue kuna tatizo kuanzia kwenye Mf. Kuna loopholes kubwa sana kati ya MF na Backlines kutokana na hatuna Natural DM (kabla ya Endo kusajiliwa) wa kutrace mikimbio ya opponents.

Pili issue sio Backline tu nafikiri even whole system ya kuzuia inashida. Tukiwa hatuna mpira hatujui tufanye nini marking zetu zipo poor. Upande wa TAA gap kuubwa linaachwa kazi inabaki kwa Konate akienda kuzuia kwa TAA kati panabaki gap unakuta yupo VVD hapo opponents wakiwa 2v1 tayari.

Thanks God we have Beckor best 1v1 Golie.

Bado tunahitaji

DM
CM
RB
CB

japo kwa dirisha hili sioni tukiwapata wote. But i myself ningechagua kusajili another DM and probably LCB. Robbo kwenye new system ana struggle kweli.

Ila DM ndio prior yetu kubwa ikifuatiwa na LCB
 
Alilazimika Klopp kufanya hivyo hakuwa na option. Nafikiri coming matches atarudi position hiyo kwa uwepo wa Endo, Bajcetic, Thiago.
Kiukweli saivi tukomae tupate quality CB hata kama tukikosa DM Bajcetic, Endo na Injury Thiago naona kwasasa wanatosha tusubiri dirisha dogo ndio tusajili DM masna naona Klopp anawakumbatia FSG sioni usajili tena mm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom