King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Bornamouth walinyimwa penalty livakuku wakapewa.
Luis Diaz mmoja ni sawa na Kikosi kizima cha Chelsea plus black fans wote waliopo Bongo
Bornamouth walinyimwa penalty livakuku wakapewa.
Tunamuhitaji Mitoma [emoji23][emoji23][emoji23]SZOBOSZLAI Dah [emoji113][emoji113]
Huyu jamaa ni hatari, Naona Jota kaotea [emoji23][emoji23]SZOBOSZLAI Dah [emoji113][emoji113]
Bado tunamhitaji sanaSalah bora aende zake uarabuni tu hana tena njaa ya mafanikio
Improvement ni kubwa mno, Tutazidi kuimariki zaidikadri siku zinavyoenda.ipo siku MTU atapasuka 9 au 10
we are very good offensively tukifanikiwa kuwa vizur kwenye ukabaji tumemaliza
[emoji23][emoji23][emoji23]Muna uhakika kama hawa wachezaji hawajalewa?
Pumbavu wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liverpool BINGWA watupe kombe letu mapema [emoji91][emoji91][emoji91]
YNWA FOREVER
Akina nyamnyam Cash Money ForeverLuis Diaz mmoja ni sawa na Kikosi kizima cha Chelsea plus black fans wote waliopo Bongo