Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kiukweli saivi tukomae tupate quality CB hata kama tukikosa DM Bajcetic, Endo na Injury Thiago naona kwasasa wanatosha tusubiri dirisha dogo ndio tusajili DM masna naona Klopp anawakumbatia FSG sioni usajili tena mm.

Sure bado haitakuwa bad idea too.
Tunamscout Adre Trindade wa Fluminense. DM mzuri sana mbrazil na mazungumzo yanaendelea huko.

Fluminense wanataka kumtoa ligi ya brazil ikiisha na hiyo ni december kuelekea January, ambapo wanataka tusubiri mpaka winter transfer na bei yake inakuwa £19m. Ila kama kumchukua kwa sasa bei £40m ni sisi kuamua.

Kuhusu CB we are not looking senior one as per Klopp. Klopp anataka left footer CB young one ila amabaye hataingia kwenye kikosi moja kwa moja. Kama ni hivi binafsi nanona tumuamini academy product yetu Jarell Quansah.
 
Thank you everyone for checking on me

I will be Fine, still on. Medications

I can't answer everyone but thank you a lot for your prayers and consoling me

YNWA
Better late than never.
Be healed IJN..
Najua unajua kuwa sikuona😔
 
Caisedo sijui Sido mitano tena
Hadi timu liporomoke daraja

Hii mikataba ya miaka 8 itawamaliza suala la muda tu.

Nafikiri Caicedo ni mzuri ndio ila kwa alichofanya jana acha tufurahi tu kwa sasa.

Kuna bwana mdogo Lavia hiyo decision ya kwenda Chelsea ni mbaya kwake. Kwa sasa ni third Choice ahead of Caicedo na Enzo. Alifanya maamuzi ya Revange kwa Liverpool na pesa zaidi. Akasahau huwezi kuikomoa Klabu

Ukweli ni kwamba Chelsea haimuhitaji Lavia yeye ndio anaihitaji.
 
Chelsea timu yenye stress
Mikosi tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom