Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,857
- 236,240
Subiri muone stress mnazokwenda kupataCaisedo ndio anaanza Leo ngoja uone maunyama yake uwanjani. Nadhani unamjua vizuri huyu keshakwiva EPL
Mmepigwa hapo,
Nyie hakuna kitu mtafanya
Labda kupiga miluzi😂