Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwanini timu inachelewa kufanya usajili wa sehemu muhimu kama CDM?Kama ilikuwa inajua kuwa itaachana na akina Fabinho kwa nini haikuleta replacement mapema kwenye preseason?

Ni ubabaishaji?Ni ubahili?Ni umaskini?

Usikute sisi mashabiki tunahitaji the best Liverpool ya makombe makubwa halafu wenyewe wamiliki cha muhimu kwao ni faida tu in terms of money?Hawasumbui akili na hayo mambo yaliyofanya Liverpool ikawa moja ya vilabu vikubwa ulaya?

Halafu kuna mshabiki anasema Liverpoll hiihii itawashangaza mwisho wa msimu,like serious?Uwe na timu mbovu EPL na utegemee kuchukua makombe?Timu gani imebeba kombe huku ikiwa average kama Liverpool?

Huna beki wa kulia.Una beki wa kati mbovu ambaye lazima acheze(VVD).Una namba 9 mlaini(Nunez).Una kocha ambaye bila kucheza 4-3-3 hana raha(Non-versatile coach)..Infact timu ya aina hiyo kuwa hata top six tu ni bonge la achievement....

Liverpool haijaja na jipya lolote msimu huu
In KLOPP I bliv
 
Ile £110m ya Caicedo nawaza ni kweli ilitolewa ama ilikuwa ni kudanganya tu?? Inanifikirisha

Yaani how comes uwe na £110m halfu bado ustruggle kupata players sokoni in terms of bei,,? Deals nyingi tukitajiwa bei tunaachana nayo.

Hiyo £110m unatoa £35m kwa Inancio (CB) toa £65m kwa Doucoure plus huyo Endo unasubiri january unasajili kwa demand ya wakati huo hasa hasa RB & CM. Summer tafuta replacement ya Thiago na Matip.

We are not doing smart business. The way this club is running is weird.

YNWA
 
Kiungocha livakuku hapo chini kabisa kikiongozwa na mwamba ENDO
Screenshot_20230818-210356.png
Screenshot_20230818-210356.png
 

Stats zake defensively ndizo zimefanya Klopp amtake after last week saga. In three years alikosa mechi mbili tu due to injury.
Captain material imemshawishi Jurgen. Hii ni short term project kwa kuangalia age yake ila itategemea na delivery yake anaweza kuwa new Milner.

One MD & CB then we are ready
 
Stats zake defensively ndizo zimefanya Klopp amtake after last week saga. In three years alikosa mechi mbili tu due to injury.
Captain material imemshawishi Jurgen. Hii ni short term project kwa kuangalia age yake ila itategemea na delivery yake anaweza kuwa new Milner.

One MD & CB then we are ready
Sure
 
Huyu Klopp anatakiwa aanze kutafuta mfumo wa kuutumia sio kila siku 433 tu wakati mido na Backline pamelwaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom