King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Muna uhakika kama hawa wachezaji hawajalewa?
Narudia tena! Hii Timu ina vipaji vikubwa sana kuna changamoto ndogondogo tu zinahitaji kufanyiwa kazi.Tuna vipaji uwanjani lakini vimekosa akili na coaching



Hawa watoto wameshakubali sema wanaspid kweli wanaweza kutushangaza🤔Mumeshalalwa kimoja hii game wanangu Bornamouth wataupiga mwingi 😂😂😂
Kipa alijitahid kucheza Ile sema ndio hvyo mnyama Katia kambaLa pili
Livakuku wanapeleka mashambulizi ila madogo Wana mtindo Fulani wa kaunta ni moto fire 🔥🔥Hawa watoto wameshakubali sema wanaspid kweli wanaweza kutushangaza🤔