Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,314
Mungu atakusaidia mkuu utaponaNaumwa sana right now
Lakini hii team ntaipenda mpaka kufa
Hope my last message will be in this liverpool forum
YNWA![]()
Mungu atakusaidia mkuu utaponaNaumwa sana right now
Lakini hii team ntaipenda mpaka kufa
Hope my last message will be in this liverpool forum
YNWA![]()
Liverpool tunae Bajcetic, hapo tungepata Dm mmoja na CB mmoja basi tatzo klopp haamini vijana sijui kwann mpaka apate injury ndio awatumie ndio maana Pep aka kipara huwa anafaulu vzur kwa makinda sasa njoo kwa Klopp.
Naumwa sana right now
Lakini hii team ntaipenda mpaka kufa
Hope my last message will be in this liverpool forum
YNWA![]()
Sio mwalimu ataaminije vijana?huyo amekariri namna yake ndo anayotegemea ikifeli ndo haya yanayo 3ndelea hapa.Liverpool tunae Bajcetic, hapo tungepata Dm mmoja na CB mmoja basi tatzo klopp haamini vijana sijui kwann mpaka apate injury ndio awatumie ndio maana Pep aka kipara huwa anafaulu vzur kwa makinda sasa njoo kwa Klopp.
Alipo Gerrald nami npo....Klopp anajifanya mjuaji Sana sawa anatupa presha Sana sisi mashabiki
Nauona mwisho wa Liverpool
Tuanze mapema kuchagua timu za kishangilia ligi ya SAUDIA kupunguza machungu
Mwsho wa Liverpool haupo Leo Wala kesho Wala KESHOKUTWA...Liverpool hiii hii mnayoiona ya hovyo mtakuja ishangaa mwsho wa msimu...TUNZA SANA HII KAULIKlopp anajifanya mjuaji Sana sawa anatupa presha Sana sisi mashabiki
Nauona mwisho wa Liverpool
Tuanze mapema kuchagua timu za kishangilia ligi ya SAUDIA kupunguza machungu


Sina uhakika kama Liverpool alitaka kumsajili Caicedo mmSizitaki mbichi hiziLiverpool ana tabia chafuu, Yan kampa pressure Chelsea mpaka kaingia 18 kamwaga ela ambazo hazikustahil alaf kaingia chocho, any way, Endo ni kiungo fundi sana umri wake haijalishi ataisaidia Liverpool.Sina uhakika kama Liverpool alitaka kumsajili Caicedo mm
Liverpool ana tabia chafuu, Yan kampa pressure Chelsea mpaka kaingia 18 kamwaga ela ambazo hazikustahil alaf kaingia chocho, any way, Endo ni kiungo fundi sana umri wake haijalishi ataisaidia Liverpool.Sina uhakika kama Liverpool alitaka kumsajili Caicedo mm
huku ni kujifarijiLiverpool ana tabia chafuu, Yan kampa pressure Chelsea mpaka kaingia 18 kamwaga ela ambazo hazikustahil alaf kaingia chocho, any way, Endo ni kiungo fundi sana umri wake haijalishi ataisaidia Liverpool.Sina uhakika kama Liverpool alitaka kumsajili Caicedo mm
Hiyo januari Endo naye hatakuwepoZa chini ya kapeti ni Doucoure anakuja pale anfield uyu jumong ni kwa ajili ya replacement january ambapo Doucore ataenda kwenye AFCON
Get well soonNaumwa sana right now
Lakini hii team ntaipenda mpaka kufa
Hope my last message will be in this liverpool forum
YNWA![]()
MatipKwanini timu inachelewa kufanya usajili wa sehemu muhimu kama CDM?Kama ilikuwa inajua kuwa itaachana na akina Fabinho kwa nini haikuleta replacement mapema kwenye preseason?
Ni ubabaishaji?Ni ubahili?Ni umaskini?
Usikute sisi mashabiki tunahitaji the best Liverpool ya makombe makubwa halafu wenyewe wamiliki cha muhimu kwao ni faida tu in terms of money?Hawasumbui akili na hayo mambo yaliyofanya Liverpool ikawa moja ya vilabu vikubwa ulaya?
Halafu kuna mshabiki anasema Liverpoll hiihii itawashangaza mwisho wa msimu,like serious?Uwe na timu mbovu EPL na utegemee kuchukua makombe?Timu gani imebeba kombe huku ikiwa average kama Liverpool?
Huna beki wa kulia.Una beki wa kati mbovu ambaye lazima acheze(VVD).Una namba 9 mlaini(Nunez).Una kocha ambaye bila kucheza 4-3-3 hana raha(Non-versatile coach)..Infact timu ya aina hiyo kuwa hata top six tu ni bonge la achievement....
Liverpool haijaja na jipya lolote msimu huu
Hii inaweza kua ikaja kua ni best optionHuyu apewe mkataba wa miaka 9 kabisaView attachment 2720293