Narudia Tena football knowledge yako ni ndogo Sana......Liverpool ni timu kubwa but sio timu yenye pull kubwa kwa wachezaji elewa Hilo
[emoji1787]
Naskia maumivu moyoni....
Mkuu,Unapoteza wako muda kumjibu Tahira wa Arsenal.Narudia Tena football knowledge yako ni ndogo Sana......
deal la lavia it's possible Chelsea wametoa pesa nyingi kwa mchezaji Plus mkataba mrefu ambao utamfaidisha endapo utavunjwa
Deal la caincedo Liverpool hata haikuwa kwenye run ila baada ya Chelsea kuingilia deal la lavia ndo liver wakaingilia hilo deal then mchezaji mwenyewe akachagua Chelsea kutokana na mawasiliano yaliyokuwa Kat ya wakala wake na Chelsea it has nothing to do with pull power ya Chelsea
Kiufup weka pesa mezani watu waje pull power wanayo real Madrid na Barcelona pale england hakuna mtu wa kusema ana pull power kubwa pesa inaongea
Wangetoa hela ya maana mwanzoni 50£ wala huyo mchezaji asingeitaka Chelsea maana hakuwa na nia hiyo mda huo.Ndo upuuzi wa Klopp huu Sasa wachezaji hawaitaki team
Mnajifariji sana rejected fcWangetoa hela ya maana mwanzoni 50£ wala huyo mchezaji asingeitaka Chelsea maana hakuwa na nia hiyo mda huo.
Kwahyo mwanangu mnaenda kubeba kombe [emoji23][emoji23][emoji23] na UCL pia mnachukua sio?Mnajifariji sana rejected fc
Wachezaji wanaogopa kugombania number na hawa wataalamuHii timu genge la wahuni luver liverpunga kila mchezaji hawataki kucheza hata bure hii timu ina laana
Huyu technical director atimuliwe
Narudia Tena football knowledge yako ni ndogo Sana......
deal la lavia it's possible Chelsea wametoa pesa nyingi kwa mchezaji Plus mkataba mrefu ambao utamfaidisha endapo utavunjwa
Deal la caincedo Liverpool hata haikuwa kwenye run ila baada ya Chelsea kuingilia deal la lavia ndo liver wakaingilia hilo deal then mchezaji mwenyewe akachagua Chelsea kutokana na mawasiliano yaliyokuwa Kat ya wakala wake na Chelsea it has nothing to do with pull power ya Chelsea
Kiufup weka pesa mezani watu waje pull power wanayo real Madrid na Barcelona pale england hakuna mtu wa kusema ana pull power kubwa pesa inaongea
Naona tumepeleka £60m kwa Lavia, mara naye aringe aitake chelsea
Ina maana hujui kusoma au ni kichwa Ina wenge......tchoumeni na valverde si wachezaji wa Real MadridUnasemaje kuhusu hawa wawili wa mwisho ukimtoa Lavia na Caicedo[emoji2371]
View attachment 2717811
Wamiliki wa hii klabu ndyo wa hovyo mkuu kwa Hali ya Sasa Kama hawatabadilika tusubir miaka 50 ijayoNaipenda sana hii team.... Inaniumiza sana