Suggestion without Budget is a bit useless Mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pension huu ndio upuuzi wa Klopp.
Davies & Kabak was his idea waletwe.
Arthur Melo was his idea aletwe.
Yeye ndiye aliye suggest Gomez snd Henderson kupewa deal ya 5 years contract extension. Na hapa ndiopo Michael Edward aliamua kujiuzulu
Suggestion without Budget is a bit useless Mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Klopp anaentertain hizi sifa za kipumbavu kikosi finyu ili akishinda mbele ya timu zilizotumia pesa ajione mwamba imara kama ngamia kupenyeza tundu la sindano .Suggestion without Budget is a bit useless Mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Elioti sio kiungo nimshambuliaji wa pembeni dogo anakipaji anajitahidi tu Kuna watu wanamuunga mkono Klopp dogo kupangwa kati na ufupi ule.Jinsi Liverpool inavyoendeshwa ni kichekesho kwa kweli.
Yaani tulishindwa kutoa £50m kwa Urgate sasa tunalia lia kwa Lavia.
Tunachekesha kutoka msimu haujaisha tulijua 100%
Milner
Keita
Bobby
Ox wanaondoka. Je hapakuwa na plans walau kununua wachezaji wawili kuchukuq nafasi zao maana Especially kwa Ox, Keita na Milner replace yao ni mchezaji mmoja.
Then mmeuza Faby plus Henderson na hawajafanya chochote, then Klopp anakuja kukuambia anahitaji kufanya formation itakayotumika na wachezaji waliopo maana hali ipo tofauti, ni maajabu haya.
Nilitegemea baada ya wale free offload cha kwanza tunge deal kupata CB, RB, DM & CM kuimarisha defensive issues.
Vvd ametuma ujumbe japo hajafunguka ila alichoongea unajua uhalisia.
Ni upuuzi kwa Kocha kama Klopp kumtegemea JONES & ELLIOT
Upuuzi wake ni kukubali kuongoza timu anayojua wazi itashindwa.Upuuzi wa Klopp ni upi ??? Linapokuja suala la Financial ya Club Klopp anahusikaje, Klopp ni Employees hana Kauli ya mwisho kwenye Club.
Paying Wages ni kazi ya Owners FSG , Paying Transfer Fee ni kazi ya Owners FSG........Klopp alihitaji Backed na hii inatokea timu ikiwa na Good Owners ambao wanaelewa Football.
Asipo kuelewa hapo hayokuelewa hata kidogo.Klopp anachangia pia trust it. Kuwakumbatia the likes of Adrian, Keita, Milner, Ox, Matip, Gomez and Thiago injury prone na low quality ni ushahidi tosha naye ana sehemu yake.
Klopp alitaka Milner na Bobby waongezewe mkataba (jiulize tu ni kocha yupo top quality angeendelea kuwa na Milner?)
Sipingani na ulichosema kwa FSG, nakubaliana nawe. Ila nimejikuta kuonesha Klopp ana % yke kubwa tu. Calvin Ramsey aliyeletwa kumchallange TAA leo yupo kwa mkopo Preston N .E hii ni idea ya Klopp. Transfer ya Carvalho ni Klopp alimtaka, after a season bila game time kaondoshwa kwa mkopo idea ya Klopp.
Kuna mahali Klopp kayumba sana. Ni yeye kalazimisha TAA kucheza RB huku kadiri siku ziendavyo anakosa Defensive ability and capability (imemcost mara nyingi).
Ile 4-3-3 media nyingi ziliandiks hata humu ndani, kwamba inatuacha wazi mno hatuna energy kwenye MF ya kutumia huo mfumo. Klopp akakaza kichwa weeeee mpaka March ndipo akakubali yaishe aka switch kwenye 3-2-2-3 na ilitufaa sana. Hapo ni baada ya kupokea vipigo vya kutosha.
Kocha mzuri ni yule anayetumia wachezaji waliopo kuleta mafanikio.
Klopp alipokuja alitumia wachezaji waliopo kina Sacko, lovren, Mignolet, Clyne kutinga fainali mbili FA & UEL japo alipoteza.
Nini kimebadilika kwa Klopp, kutopokea ushauri kutoka kwa Sporting director (Edward) hapa ndipo mambo yalivurugika.
FSG kumkingia kifua, kumemfanya ajse kiburi.
Anyway ngoja tuone itakavyokuwa
YNWA
Kuna wachezaji wangapi Klopp aliwahitaji na akawakosa kama kweli anahiyo Final say si wangekuja, Hawakuja kwa sababu ilikuwa ni FSG Job......Klopp ni Mfanyakazi wa LFC hana kauli ya Mwisho kwenye Financial ya Club zaidi ya kutoa Maoni tu.Hii ni kwa wote mnaosema kuwa klop hana say kwenye usajili View attachment 2712782
Umekomesha ubakie ubishi wao na mapenzi kwa myu asie na faidaHii ni kwa wote mnaosema kuwa klop hana say kwenye usajili View attachment 2712782
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu Nunez naona usuarez ndani yake.
😂😂😂😂View attachment 2291503
Huyu ametumwo na ukoo, kijiji, wilaya, mkoa na nchi aje kusaka maisha Ulaya na hataniiiii🔥🔥🔥🔥....
New el nino in town...
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂View attachment 2291504
Soooooon to be Kops favourite boy....
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu dogo ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa £500k kwa wiki ama ndio atakua mchezaji wa kwanza kutoka EPL kuuzwa Real Madrid kwa £180m...
Go boy hit em hard...
YNWA
Wested three valuhable weeks on negotiating. We are run like a League 1 Club .Upuuzi sana huu... Mwisho tutahusisha na mambo ya rangi tunapoelekeaView attachment 2712871
Kwa umri wake Bado, Nunez tatizo lake ni Mapepe kwenye goli baaasi. ni suala la msimu huu tumwone development yake maana ana mikimbio hatari sana wakati tukishambulia (Complete Forward) kama umemcheki gemu alizocheza.Nunez ni project iliyo feli, Gakpo is better than Nunez.
Lavia Chelsea waneingilia kati...£48milion na watamchukua...labda dogo TU aamue tofauti..Kuna kiungo wa Fluminense Andre twamtaka plus Lavia we will see
Huyo mchezaji anaKwa umri wake Bado, Nunez tatizo lake ni Mapepe kwenye goli baaasi. ni suala la msimu huu tumwone development yake maana ana mikimbio hatari sana wakati tukishambulia (Complete Forward) kama umemcheki gemu alizocheza.
-Ball control[emoji736]
-Speed[emoji736]
-Dribbling[emoji736]
-Flair[emoji736]
-Clinical Finish[emoji777][emoji849]