Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hatuwezi kumaliza matatizo yote ya timu kwa Dirisha moja la usajili hatuna Owners wa namna hiyo.
Tukimpata LAVIA na CB 1 ,Itakuwa ni it's an Excellent ,Exciting Rebuild kwa Summer ambayo wengi Hatukuhitarajia.

Sure Lavia and 1 CB ready for the season.

Jarell Quansah is expected to join the Liverpool first team for the 2023/24 season.

Huenda Klopp aka opt kusajili senior CB akasajili two MF’s kwa taarifa ya Quansah amepandishwa senior team then akaenda na waliopo

Gomez, Vvd, Matip, Konate, Robbo, Tsimikas.

Kwa mimi nitamuelewa kama atasajili DM (probably Lavia) na another physical CM mwenye uwezo wa kucheza DM too.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…