nimeshangaa goli zote zimepitia wapi, something went wrong!Defence inavuja balaa
kabisa mkuu na kiungo mwingine wa kati Kama fabinho na Henderson wataondoka hv Stefan bajcetic sjamuona n injury au ?Man, We have to sign a CB this summer.
Tofauti na hivyo One injury ya VVD au KONATE tutakuwa kwenye Big Trouble.
Tukubali Tu Vvd amekwisha.. tunahitaji beki kama watatu wapyaTunahitaji CB wawili na DM Mmoja bila hapo season tutaiona mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka sasa Foward na Midfielder atleast matumain yapo ila Beki hakuna beki mle [emoji23][emoji23]. Alafu kwenye usajili simuelew klopp kuwa kunausajili ataufanya we are doomed [emoji1787]
Bora arudi tuNasikia fabinho shida ni mbwa wake hawaruhusiwi Saudi Arabia...
Deal limekwama hapo
Hawa sasa ndio wangekuwa wa kwanza kuwaondoaMATIP na GOMEZ Hakuna Defender hapa tunapoteza muda tu na hizi Takataka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hawa sasa ndio wangekuwa wa kwanza kuwaondoa
Kabisa [emoji23][emoji23][emoji23], Klopp asitegemee kukimbizana na kipara kidizaini hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] beki zimepwaya sanaTukubali Tu Vvd amekwisha.. tunahitaji beki kama watatu wapya
Mabogas kabisa bora yachukuliwe saudi arabia tu haya [emoji1787][emoji1787] kwan Gerrard hayaoni? Maana kaisha jinyakulia limoja bdo haya [emoji23][emoji23]MATIP na GOMEZ Hakuna Defender hapa tunapoteza muda tu na hizi Takataka.
Klopp ana mpango wa kusajili Left Footed CB Kuna Dogo wa kijerumani anakipiga Dortmund Nico Schlotterbeck nahisi anamvizia na madili yake ya kimya kimyaTunahitaji QUALITY CLEAN SIGNINGS, if we are to compete next season.
Established
CB
RB
DM
Tunavyochelewa kufanya usajili hata tumpate complete player Klopp ataendelea kuwaweka bench tu.
Sell Gomez or Matip before its too late.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti madili ya kimya kimyaKlopp ana mpango wa kusajili Left Footed CB Kuna Dogo wa kijerumani anakipiga Dortmund Nico Schlotterbeck nahisi anamvizia na madili yake ya kimya kimya
Deal haliwez shindikana hilo leo tu utasikia tumembeba kwa £35milion [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona tumepeleka ofa ya £40milion Kwa lavia jamaa wameipiga chini