zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
TunashukuruKazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.
TunashukuruKazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.
Wewe sio Liverpool halisi, wewe sio believerNamm nashangaa japo mm ni shabiki wa Liverpool nawashangaa mashabiki wenzangu![]()

#LFCTungesajili na CB ingekua poa sana VVD anatuangusha sana
Klopp anajipangaje na usajili wa beki? Masna naona anapambania tu Midfielders tu.
Chuma ya kazi ndani ya nyumba....
Asante MkuuKazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.

July 8 ni keshokutwa tuKwa tatizo la LFC pakubwa ni wapi?? MF. CB atakuja ila kwa sasa sokoni ni shughuli pevu kusajili kiungo ndio maana anapahangaika hapo kwa haraka. Na kwa mujibu wa Klopp alisema anataka mpka july 8 atakapoanza pre season awe na wachezaji wote tayari. Ngoja tuone itakuaje siku 5 zilizobaki

July 8 ni keshokutwa tu
Haya ngoja tuone![]()
Asante Mkuu
Muda huo tunachukua labda kipara awe amelala
Hii timu haipo serious..maneno ni mengi kuliko vitendo.
Asante Mkuu
Muda huo tunachukua labda kipara awe amelala
Hii timu haipo serious..maneno ni mengi kuliko vitendo.
nadhani tumebakiwa na slot 1 ya foreigner........ labda auzwe mwingineWe need DM and i think Khephren Thuram. Anatufaa mfaransa huyu release clause yake ni £39M kwa hali ilivyo mpaka sasa huyu Jorg Schmadkte he means business.
Deals mbili alizozifanikisha kwa Mac Allister (at £35M then Szoboszlai at £60M). Nimeanza kumuelewa Jorg Schmadkte mpka signings hizi.
Sasa next two targets are Romeo Lavia from S’ton and Khephren Thuram from OGC Nice
Kazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.

yale Yale ya nyunyez
Mwanzo Madrid, walichomoa kwa Valverde. Ndipo tukaenda kwa Szoboszlai mazima na tukafanikiwa. They are all good. Lets see our next target
Valverde
Alesandro Bastoni (CB)
Barella
Kone
Thuram
Bado tupo sokoni mkuu ilitolewa £250 na mpaka sasa ni £95 ngoja tuendele kusubiri
Tumchukue hata huyuFiorentina CEO Barone on Man United rumours for Sofyan Amrabat: “We have not receive any bid or proposal for him at all”.#MUFC #transfers
“He’s Fiorentina player now. If an offer comes, we will consider it”.