Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upamecano hamna beki mule. Katoa boko za kutosha tu kwenye uefa. Na ukisema ana speed si kweli maana jamaa huwa ukimgeuza upande mmoja basi kwisha kazi yake. In short yule ni kama Koulibaly tu
Mbona kawabeba France Hadi fainali??
 
OUR NUMBER 8.
20230702_181026.jpeg
 
Kazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.
Namm nashangaa japo mm ni shabiki wa Liverpool nawashangaa mashabiki wenzangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom